Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sijui kwann Ila leo ni Sina hofu hata kidogo kuhusu hii mechi na naamini tutashinda ushind mzuri tu...khofu yangu Ni man city kuliko man untd kiukweli.

Sent from my M1 Lite using JamiiForums mobile app
Unavyoona Manchester City wakirudi kwenye kasi yao bila Jesus na Aguero inatisha ndugu...

Ukweli ni kwamba kama Pep na vijana wake ni tishio kwetu kuliko majirani zao..

Gemu hii ya leo ndio ya kutuma ujumbe namna tunavyoumbakisha ubingwa Anfield...

Pazuri ni kwamba hawa jamaa wamefungwo goli 24 huku sisi na ukuta wa kuungaunga tukifungwo 21 hivyo inaonesha wao pale nyuma wanafungika..

Kingine sisi tumefunga goli 37 na wao wana 34 pia hii imekaa powa kwani pale mbele kwetu makali yamepungua hivyo wakiweza Salah na wenzie leo wana nafasi ya kurudisha yale makali yao..

Mahala ambapo naona wanaweza kutuumiza ni kwenye counter attack msimu huu wana goli 5 ambapo ni EPL highest huku sisi tukiwa na goli 3,.. Hili la counter attack ndio linanipa shinda kwani wanawachezaji wenye mbio na akili pale mbele huku mkijua Fabinho mbio sio moja ya ubora wake...

Whats a game bring em...

YNWA
 
I think it should be

Becker

Millie Matip Fabinho Robbo

Thiago Curtis Keita

Salah Firmino Mane

Hint: Firmino atakuwa na madhara sababu ya uwepo wa Thiago Alcantara

Mkuu Masamila kweli Henderson awe mzima kabisa Klopp asimpange kweli inawezekana..

Ngoja tuone naona kikosi kitakua hivi

Allison

TAA Matip Fabinho Robertson

Gini Henderson Thiago

Salah Firmino Mane

Kuwavuruga Manchester United kimepangwa hivi..

Alisson

TAA Matip Fabinho Robertson

Jones Thiago Gini

Salah Mane Takumi...

Hapo inakua imebalance especially upande wa TAA msimu huu kuna shinda tunavyoshambuliwa hivyo Jones ana fresh legs angesaidia zaidi defensive duties.....

YNWA
 
1610878600384.png
 
Hivi Jota bado tu hajapona?
 
In Klopp I trust. Whatever line up he is going to unleash into the pitch today vs Manure, am going to back him all day long. 100%.

Let's believe. 100%. Either way, in the context of the season, today's result won't tell us much about what is going to pan out between now and May.

Meanwhile, the only fear I have is the resurgence that's looming from the Etihad. HUGE!
 
Unavyoona Manchester City wakirudi kwenye kasi yao bila Jesus na Aguero inatisha ndugu...

Ukweli ni kwamba kama Pep na vijana wake ni tishio kwetu kuliko majirani zao..

Gemu hii ya leo ndio ya kutuma ujumbe namna tunavyoumbakisha ubingwa Anfield...

Pazuri ni kwamba hawa jamaa wamefungwo goli 24 huku sisi na ukuta wa kuungaunga tukifungwo 21 hivyo inaonesha wao pale nyuma wanafungika..

Kingine sisi tumefunga goli 37 na wao wana 34 pia hii imekaa powa kwani pale mbele kwetu makali yamepungua hivyo wakiweza Salah na wenzie leo wana nafasi ya kurudisha yale makali yao..

Mahala ambapo naona wanaweza kutuumiza ni kwenye counter attack msimu huu wana goli 5 ambapo ni EPL highest huku sisi tukiwa na goli 3,.. Hili la counter attack ndio linanipa shinda kwani wanawachezaji wenye mbio na akili pale mbele huku mkijua Fabinho mbio sio moja ya ubora wake...

Whats a game bring em...

YNWA
Hofu yangu na mimi ni Pep aisee.......ana uzoefu sana na hizi title run-ins.
 
Musije mukasahau,
Mpaka kufikia mwezi wa pili mutakua mushafika kwenye nafasi yenu ya tatu, nafasi ambayo ndio mutamaliza nayo kwenye msimamo wa ligi msimu huu
 
Kuna jamaa ni shabiki kindaki ndaki wa Kuku fc, leo amesema ana bet Manchester United inashinda.

Anasema pesa inauma kuliko points 3.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom