Umenza vizuri ila umeharibu hapo mwisho.Mlivyochukua uefa wachawi tukasema hii timu inabidi isajili ili iwe fresh msimu ujao.
Klopp akasema hatasajili.
Timu ikachukua ligi. Wachawi tukarudia maneno tuliyorudia msimu uliopita.
Wakasajiliwa watu. Ila siyo mbadala wa trent na andrew. Klopp aliwaaminisha mashabiki kwamba yeye anadeal na makombe ya ligi na ucl, mengine siyo target, a plan to conceal ukweli kwamba hana kikosi kikubwa cha kutoa ushindani kwenye kila kombe.
Plan worked. liva ikifungwa fa au carabao mashabiki hawaoni tatizo, wanaita hizo trophy mickey mouse.
Maneno ya kutakiana mabaya ya misimu miwili nyuma yameanza kufanya kazi msimu huu. Trent ana workrate ndogo kuliko mchezaji yeyote kwa timu zote mbili kwa jana.
January hii hapa. Ili klopp aendelee na attacking fullbacks naamini anamuangalia lamptey na hakimi na anaona wanamfaa.
Liva inadrop points huku inacheza kwa kudominate, naamini baada ya goli la jana, wapo waliobeti live kwamba liva itashinda, unaona shots, passes, shots, unaamini kuna moja litaingia now ngoje nibet live niseme mechi suluhu.
Over time hata dominating a game itakua a distant memory, timu za ucl haziachani sana possession na liva na hilo likihamia kwenye ligi basi hapo itakua ni kuishi kile kipindi cha kuanzia 2008 mpaka 2014.
Kuhusu man u kushika namba moja, inakua ni kama kumuona tembo juu ya mti, wote hatujui kafikaje ila tuna uhakika ataanguka.
Uzi hukimbiwa timu ikianza mabreka. Ngoja tuone.
Painful experience... Kama klop is wise hii window inabidi azame sokoni bila hivyo anaweza kujikuta anafight top four maana kiuhalisia timu inahitaji revamp ya hali ya juu.Alex Ferguson alikuwa master wa hii kitu, hata kama timu inachukua ubingwa lazima asajili impactful players.
Kuchanganya walioshiba na wenye njaa. Sisi tuli-opt kuendelea na walioshiba tupu, tena Jota aliyeonekana kurudisha uhai tukamtumia isivyo ili tu asiwaguse watoto pendwa.
That day Jota alipoumia nilisema humu kwamba tutaikumbuka hii siku.
Klopp akumbali wanakwama mahala kuzidi kusema all is cool sio sahihi..Kwa sasa inaonesha haiwezekani.sijaona umuhimu wa kuingia na akili kama hizo kwenye msimu huu.
Bora huyu firminho wa thailand katupa word club cup. Na CL na EPL..... Timo werner Yeye kageuka Shevshenko au torresHaha hahaaaaa....kwamba mmepigwa kama Chelsea tulivyopigwa kwa Havertz?
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Kitoabu shida yako ndiyo hii.Umenza vizuri ila umeharibu hapo mwisho.
Sijui ni ushabiki ama vipi?
Labda ulitegemea nani awe juu ya msimamo ndio uamini anastahili?
Mkuu zile zama zime rudi.
Wanampango wa kumpa United ubingwa maana mapenat yao si ya nchi hiiYaani ukiangalia mechi zote tulizotoka draw kuna mchango mkubwa sana wa marefa. Leo huyu pimbi kapotezea penalty 2 kabisa. Hata mtaalam wa VAR naye kapotezea, ingekuwa upande wa adui sasa!!
Klop kashaanza lawama kwa marefa, kipindi anashinda na kutwaa mataji haya hayakuyaonaKlopp; "Manchester United had more penalties in two years than me in five and a half years- But [we have] no Excuse for tonight "
Haya ni maneno ya mkosaji .
Nadhani Klopp kwenye usajili post covid yupo vizuri ndugu addition ya Thiago na Jota bila kua tumeuza A team hata mmoja was superb move...Hendo kokote anakopangwa binafsi naona sawa tu, huwa sioni impact yake uwanjani.
Nikiuliza washabiki wenzangu wananiambia kazi yake haiwezi kuonekana kwa macho ya kawaida, imebidi nikubali nisije kuonekana nina macho mabaya.
Problem yangu ni kutofanya additions, enzi za Fergie ilikuwa kikosi kikionekana kinaanza kuridhika analeta mtu mpya kuchangamsha. Sisi tumeamua kutulia.
Mkuu unahisi kwamba United kafikia hapo alipo kwa bahati mbaya?!!Mlivyochukua uefa wachawi tukasema hii timu inabidi isajili ili iwe fresh msimu ujao.
Klopp akasema hatasajili.
Timu ikachukua ligi. Wachawi tukarudia maneno tuliyorudia msimu uliopita.
Wakasajiliwa watu. Ila siyo mbadala wa trent na andrew. Klopp aliwaaminisha mashabiki kwamba yeye anadeal na makombe ya ligi na ucl, mengine siyo target, a plan to conceal ukweli kwamba hana kikosi kikubwa cha kutoa ushindani kwenye kila kombe.
Plan worked. liva ikifungwa fa au carabao mashabiki hawaoni tatizo, wanaita hizo trophy mickey mouse.
Maneno ya kutakiana mabaya ya misimu miwili nyuma yameanza kufanya kazi msimu huu. Trent ana workrate ndogo kuliko mchezaji yeyote kwa timu zote mbili kwa jana.
January hii hapa. Ili klopp aendelee na attacking fullbacks naamini anamuangalia lamptey na hakimi na anaona wanamfaa.
Liva inadrop points huku inacheza kwa kudominate, naamini baada ya goli la jana, wapo waliobeti live kwamba liva itashinda, unaona shots, passes, shots, unaamini kuna moja litaingia now ngoje nibet live niseme mechi suluhu.
Over time hata dominating a game itakua a distant memory, timu za ucl haziachani sana possession na liva na hilo likihamia kwenye ligi basi hapo itakua ni kuishi kile kipindi cha kuanzia 2008 mpaka 2014.
Kuhusu man u kushika namba moja, inakua ni kama kumuona tembo juu ya mti, wote hatujui kafikaje ila tuna uhakika ataanguka.
Uzi hukimbiwa timu ikianza mabreka. Ngoja tuone.
Mlivyochukua uefa wachawi tukasema hii timu inabidi isajili ili iwe fresh msimu ujao.

Yule kocha ana ndoto ya kufundisha timu kubwa zaidi ya Southampton hivyo ushindi wake jana unazidi kupendezesha CV yake...Hadi game inaisha manager wa saton analia
Hakuamin kilicho tokea
Kuchukua Point 3 mbele ya Liverpool aliona Kama muujiza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sisi City tunakuja kumbomoa Liverpool pale anfield
Hii Ni Kama manure atashindwa

Mkuu city hawezi kukaa juu kama akilingana idadi ya michezo na Utd.Kitoabu shida yako ndiyo hii.
City ana games mbili mkononi hizi games akishinda anaenda kua namba moja kwa tofauti ya points mbili.
Na nyinyi mna game moja nafikiri.
Tukiangalia rekodi za kuperform kwa man u na city ni ngumu kusema man u atakazana hapo alipo. Mashabiki mmemtukana kocha na kutaka atoke amekusanya points mnaanza kuhisi muda wa kombe ndiyo umefika, siyo kweli.
Ligi ya sasa kuanzia wa 11 akishinda games tatu mfululizo ana chansi ya kufika namba 6 akipoteza games 2 mfululizo anajikuta nafasi ya 15. Kuna siku nilikuambia hiyo nafasi ya pili kakaa, leicester, chelsea, villa, southampton, city, spurs na wote wametoka haitakua ajabu na man u akitoka.
Unajisahau wakat ulilazimisha sare pale etihadHadi game inaisha manager wa saton analia
Hakuamin kilicho tokea
Kuchukua Point 3 mbele ya Liverpool aliona Kama muujiza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sisi City tunakuja kumbomoa Liverpool pale anfield
Hii Ni Kama manure atashindwa
Nijue kuandika kwani nipo kwenye usahili?Kuandika. Tu hujui.
HapanaW
Mkuu unahisi kwamba United kafikia hapo alipo kwa bahati mbaya?!!
Haisimamishwi. Ila kuna taratibu zinawekwaBreaking news:
PM Boris to adress the nation at 1:30 PM UK time!
League ya EPL kusimamishwa sababu ya kuenea sana maambukizi ya corona?
Stay tuned
Most likely huu ubingwa akachukua Guardiola
Zifunge timu kubwa kwa ndogo sio ndogo tu ndio labda uchukue ubingwa
Msimu huu Spurs anawafunga nje ndani, Round ya pili Emirates stadium hamshindi ,Chelsea pia sidhani kama mtamfunga msimu huu
Ndio kawaida yake ya kutafuta EXCUSE pale mambo yanapoenda tofauti.Klop kashaanza lawama kwa marefa, kipindi anashinda na kutwaa mataji haya hayakuyaona