So I'm anomaly kna holes za kusiriba then mambo yaende ipasavyo siyoIli liva mid yao iwe na jukumu la kushambulia inabidi wijnaldum asogezwe mbele nje ya huyo hakuna kiungo mwenye trait hiyo
Hili najiuliza how mwl halioni? Depth ya timu imeshuka but bado no additions.. Utd yenyewe ina flaw kwenye CB na miscellaneous kama RW na proper striker but kwenu nyie mlikuwa muwe na mbadala wa VVD na TAA muda mrefu na pale kati still huyu Muispanyola si mtu sahihi sana.
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
MajeruhiNathanael Ake yuko wapi?
FernandinoNathanael Ake yuko wapi?
Nakubali.. Liverpool ya last season was fire ila wa chini yake labda tumuondoe vardy na timu yake walikuwa hovyo... As angalia msimu huu margin ndogo sana kuanzia nafasi ya 6 kupanda juu... Kingine wengine wengi wanasahau issue ya kukosa pre-season msimu imezicost hizi timu dearly na concentration ya kumalizia msimu after lockdown was so bloody breathtaking... Mpaka ssa naweza kusema baada ya game mbili zijazo za utd ndio kitu title race chaweza kuwa valid.
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Mnazika hapa hapa au mnasafirisha
Samahani sijakuelewaSo I'm anomaly kna holes za kusiriba then mambo yaende ipasavyo siyo
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ww mpiga ramli tupe matokeoMechi iko wazi mbona hiyo Liverpool anashinda,hakuna mashabiki wa Liverpool mwenye wasiwasi na hiyo mechi.
Enhe asubuhi ndio hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tukutane hapa kesho asubuhi
Hakika nimeamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu leo soton watajiona hawajui [emoji3]
Kama wewe tu unavyopanuaga.Allison bakari kapanua vizuri Sana Jana usiku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
mpini 1 [emoji460]hauja kukolea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama wewe tu unavyopanuaga.
Ata ukimtukana yupo madale atafanyajeLuverpool HALISI nawasihi tuendelee kuwa karibu na team na tuepuke kutukana wachezaji na jopp la ufundi,tuwaachie Liverpool feki kazi hiyo!
Vijana wamechoka,wamecheza mechi nyingi sana lkn sasa tunapumzika na tunarudi baada ya weeks mbili!
Genius Klopp atarekebisha mambo
Ata ukimtukana yupo madale atafanyaje