Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,427
- 11,151
Tutafungwa na wote ila sio nyumbu
Tutafungwa na wote ila sio nyumbu
Ox ni mzigo leo hamna mchango wowote kutoka kwake.. Binafsi ningependa kumuona Takumi..Aingie shaqir naona hii game anaeza kwenda nayo sawa
Southampton 1 Liverpool 0 half timeNgapi huko wakuu Mana Hali yangu cyo nzuri leo
Madogo wamefanikiwa kuchza na mido zenu... Ile kimbia kimbia yenu haipo... Wangekuwa 3 0 now.No chances created..... Tiago pasi za pembeni
Chambo..... Zzz zzz kalala
Salah a naruka ruka Ruka tu
MANE kidogo kwambaaaaaaliiii
GINI kapoaaa
Firminho dorooooooo
Anorld.... Kama hayupo uwanjani yaani kama kanywa dawa ya maleria
Sent using Jamii Forums mobile app
We are damn poor...Tukubali au tukutae Rhythm ya from 3 yetu imefika ukomo.
Vipi Gomez?Jota anarudi lini wadau
Mkuu bado kuna muda wa kuweka huu msimu sawa...Kwa sasa me naona nguvu iende UCL tu EPL game nyingi sana kwa kikosi hiki sidhani .
Sisi haituhusu, ngoja tumalize paketi yetu hii.Nilitegemea hiki,wala hainishangazi.
Kwani tangu mumtume sigara hajadi tu?Jota anarudi lini wadau
Kwa performance ya Trent kwa hivi sasa ni Bora Right back acheze Milner tu,
Trent need to be dropped
Ngapi huko wakuu Mana Hali yangu cyo nzuri leo