Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,179
- 2,084
Southampton wanaume majemedari wafia team wasiochoka ...wanaitamani loserfools hata sahiv wachukue point 3
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Baaadae utajua haujuiSisi timu zilizopo top ten hatutaki masihara tunatembeza vichapo tu zilizopo mkiani tunazipa point kuziokoa zisishuke daraja
Huyu jamaa Free kick zake
Yani ndivyo ni wazavyo ushindi wetu ni mpaka wachezaji waamueWatu wanaichukulia poa Sana Liverpool
Team yetu ni hatari Sana
Inaweza kukupa matokeo ya kipumbavu au matokeo ya hatari inategemea na moodhapo ndo ujinga unakuja
Ngoja Jota apone wataelewa
Huyo Takumi bado hajafikia livo ya Boby mbovu labda apangwe kwa lengo lakumtishia nyau BobyMpira kwenye nimeamini una bahati zake ndugu maana hao unaosema wachezaji wake japo wametupa ubingwa lakini naamini benchi la Manchester City, Barcelona ama Real hawawezi kuliona..
Kinachofanya tusonge mbele hii timu ni mfumo industrial zaidi kuliko individual brilliance...
We turn the draws to wins and we are sorted...
MF leo nimuone Gini Hendo Thiago...
Pale mbele Mane Takumi Salah...
Nyuma Trent Williams Fabby Robbo
Between the sticks ni Philanthropist Allison...
YNWA
Tayari mmeshafungwa goli mbiliLiverpoool Expected XI vs Southampton (4-3-3): Alisson; Trent Alexander-Arnold, Phillips, Fabinho, Robertson; Wijnaldum, Henderson, Thiago; Salah, Mane, Firmino.
YNWA


