Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa hivi lolote mtakalosema itaonekana mmepatia, hatamu ni yenu.

Nasubiri kuona nini tunafanya game ya Southampton.
Mkuu bado game 3 mzunguko wa kwanza uishe...

Tunao vs Southampton
Vs Manchester United
Vs Burnley....

Ki ukweli ukitazama majeruhi wanavyopishana kwa dokta tangu msimu huu umeanza unaweza ona WE HAVE DONE AWESOMELY WELL BY ANY STANDARDS..

Am proud of this team..

Am proud of this great gaffer and his back room staff wanafanya kazi kubwa mno maana our backline keep changing kila kukicha and yet we aint losing games at the highest margins minus Aston Villa game...

Ukitazama utaona shinda kuu kwetu ipi kule mbele kwa wafungaji.. Hao ndio wanatukwamisha mno hawapo lethal and clinical as we were last season..

Bidii zaidi iongezeke kwa vijana pale mbele and we are retaining the EPL trophy...

So far my Liverpool player of the season has to be Allison lol he has saved us time and time again.. Kudos to this bearded Samba boy...

YNWA
 
Vi chance vichache vilivyotengenezwa jana Salah kavikosa vyote, huyu jamaa mechi tight kumtegemea akupe ushindi ni ndoto mbaya zaidi chance nyingi zinaangukia kwake
 
Mkuu umesema sahihi kabisa ila kuna jambo moja unalisahau.. Hao MF wetu wasipo dictate mchezo unadhani hao LB na RB watapata wapi huo uhuru wa kupeleka mashambulizi...

Shinda kuu nayoiona ni kama vile tuna hati miliki na 4 3 3 week in week out.. Matatizo yanaanzia hapo ndugu maana timu pinzani wanajiadaa namna ya kuizima 4 3 3 na hakika wamefanikiwa..

Chamberlain amepona, Thiago amepona, Shaqir amepona na Takumi mzima meaning Klopp hawezi sema hana asset za kubadili mfumo may 4 4 2...

When 4 3 3 is proper utilised man utapenda maana hua ni mchaka mchaka na ushindi juu ila ikizimwa kama jana lol utaichukia mno....

Manchester City wao ni 4 3 3 any day of the week na wanafanikiwa kwa vile wachezaji wa kwenda na flow wanao japo nao wakikutana na kupaki treni wanakwama tazama mechi yake na WBA alitoka sare...

Ni wakati Klopp aje na mfumo mwingine huu wa sasa timu pinzani wameshatujulia..

Kingine jana Firmino na Salah walikosa clear cut chances at point blank... Kwa kweli Messi na Ronaldo walipwe hizo 💵 au £500,000+ week maana wana consistency kufunga.. Hawa wa kwetu dry spell sasa inawakata wote kwa pamoja...

Get well Jota...

YNWA
Siku hizi City anacheza sana 4 2 3 1 nahisi kaona wanambana sana. Liva mnamiliki mpira ila nahisi mnahitaji striker sasa hii ishu ya false 9 na huku Salah anaanza kua butu itazidi kuwasumbua.

Kuna member kalalamika mid jana zilipiga sana sideway passes probably ilikua namna yao ya kutaka kuwaengage fullbacks. Hata hivyo tangu game ya Atletico ilionyesha kwamba fullbacks za liva zikikabwa inakua ngumu timu kupata ushindi.

Asaijiliwe St na AM halafu ichezwe 4 2 1 3
 
Siku hizi City anacheza sana 4 2 3 1 nahisi kaona wanambana sana. Liva mnamiliki mpira ila nahisi mnahitaji striker sasa hii ishu ya false 9 na huku Salah anaanza kua butu itazidi kuwasumbua.

Kuna member kalalamika mid jana zilipiga sana sideway passes probably ilikua namna yao ya kutaka kuwaengage fullbacks. Hata hivyo tangu game ya Atletico ilionyesha kwamba fullbacks za liva zikikabwa inakua ngumu timu kupata ushindi.

Asaijiliwe St na AM halafu ichezwe 4 2 1 3
Well said ile game ya AT iliwapa clue opposition managers how to tame Liverpool and since then we have been tamed for real...

Especially with the train parking teams they have managed to shut the shop and we ain't taking the goodies...

Mpaka Manchester City wametuachie 4 3 3 basi Pep katazama mbali sana...

EPL is very lucrative timu zinapambana all over wengine for UCL na Europa na wengine kubakia ligi kuu maana kule championship kuna balaa hivyo lazima tujue kua mabingwa pekee haitusaidii kutuvusha salama kama matokeo yatakua hivi kila kukicha...

Klopp akiwa BD alikua anatumia traditional 9 na alipata mafanikio sielewi hapa kwetu ni kwa ku accommodate Bobby ndio anakomaa na hio false 9 ama niaje..

Labda baada ya haya ma sare mengi mengi pengine sasa ataona wakati mwafaka wa kua na namba 9 wa ukweli maana kwa zile kona na klosi tunavyofikisha aafu tunaambulia shot on target 4 huku possession tukiwa na over 70% ni aibu kabisaa...

Edwards awe busy January hii.

YNWA
 
Achana na kutolea macho TV bali angalia mpira...

Kabla ya kutumia lawama mchezaji au Wachezaji basi lazima tujifunze na kukubali Facts zinazotokea kwenye michezo yetu:-

  • Watengenezaji mashambulizi wetu wakubwa na TAA na Bobby na sio Midfielders.
  • Kwasasa anayetengeneza nafasi za kufunga ni Robbo peke yake.
  • TAA tokea arudi kutoka injury amedrop kiwango chake hasa kwenye kutengeneza nafasi za kufunga that's why Timu nzima sasa inasubiri mashambulizi kutoka kwa Robbo lakini wanaotolea macho TV they only see Salah, nothing else! Only wanaangalia Mpira ndiyo wanaweza kuona facts zinazotunyina ushindi.
  • Kwasasa Timu zinapokutana na sisi Plan A yao ni Kuwazima TAA na Robbo ambapo tunaishia kuwa Headless Chickens kwani hutoona tena nafasi yoyote kutengenezwa kwenda kwa Front 3.
  • Sijaona Direct blunder yoyote iliyotupelekea kukosa ushindi kutoka kwa mabeki wetu mpaka sasa.

Way Forward inayoweza kutatua ukame tulionao nakubaliana na mtazamo wa Castr kwenye post yake hapo juu.

√ Ni lazima tuachane na Mfumo wa kuwategemea Fullbacks kwa ajili ya kutengeneza mashambulizi kwani itatoa options za Blan B wakati FBs zinapobanwa na Mido kutengeneza nafasi! Hivyo kuna ulazima wa kusajili Mido either awe AM au CM.
√ Tusajili Centre Forward wa uhakika ambaye ni Traditional number 9 na sio False number 9.
 
Vi chance vichache vilivyotengenezwa jana Salah kavikosa vyote, huyu jamaa mechi tight kumtegemea akupe ushindi ni ndoto mbaya zaidi chance nyingi zinaangukia kwake

Ukimtoa ndio hizo chance hupati tena.

Nafasi alizopata alikuwa alengi goli yeye anapiga nje,mpaka alikuwa anatia hasira,sasa tutashindaje kama anapiga nje?
 
Na next game tunadraw na Southampton labda Timu ibadilike kuanzia upangaji wa Kikosi na Performances za wachezaji.

Unadhani kwa kikosi tulichonacho nani apangwe?

Mimi naona kama tunapitia hali tata timu nzima, sina hata wa kusema akipangwa huyu atatuokoa.

Ni kazi ya ile front 3 kuwa clinical, kitu ambacho naona wote watatu wepoteza scoring instincts.

Sina uhakika kama wanapania sana kila mmoja afunge au tu wako katika kipindi kigumu.

Nafasi kama nafasi zinapatikana chache, kuzitumia ndiyo inakuwa ngumu.
 
Unadhani kwa kikosi tulichonacho nani apangwe?

Mimi naona kama tunapitia hali tata timu nzima, sina hata wa kusema akipangwa huyu atatuokoa.

Ni kazi ya ile front 3 kuwa clinical, kitu ambacho naona wote watatu wepoteza scoring instincts.

Sina uhakika kama wanapania sana kila mmoja afunge au tu wako katika kipindi kigumu.

Nafasi kama nafasi zinapatikana chache, kuzitumia ndiyo inakuwa ngumu.

Hizi kauli za kuwa kila mmoja anapania afunge yeye ni kauli za Schoolboys na sio za kimpira.

Ninachokiona mimi ni kuwa Front 3 yetu ipo kwenye nyakati ngumu tu ya kufind target, nothing else.
 
Hizi kauli za kuwa kila mmoja anapania afunge yeye ni kauli za Schoolboys na sio za kimpira.

Ninachokiona mimi ni kuwa Front 3 yetu ipo kwenye nyakati ngumu tu ya kufind target, nothing else.

Nakuelewa mkuu, ndiyo maana nikawa nam-favor Jota at least alirudisha ile spark ya magoli, na alikuwa anasababisha kama kaushindani fulani ambapo mwisho wa siku timu inashinda.

Kuna point umezungumza ya kutafuta creative mid isiyo na history ya injury, hili nadhani haliko kabisa kwenye mahesabu ya timu, tena kwa hizi taarifa za Gini kuelekea kusaini ndo kabisa tusahau.
 
Usiogope faza manure hana ubavu huo Maybe city ndo wakuogopa sio man u

Mkuu hili swala la kuongoza ligi kila mtu alipoongoza ligi ilikuwa inasema tunachukua ubingwa kwa hiyo hata kwa Man U ikitokea ikaongoza ligi sitashangaa kauli zao.

Bado man city kuongoza ligi kwa muda,nayeye akiongoza ligi watu watasema atachukua ubingwa.

Kwa navyoona ligi bado sana kwa sasa hata ukiongoza huwezi kushinda mechi zote mpaka ligi iishe .me nasubiria kuanzia mechi ya 7,8,9 ya mzunguko wa pili pale mtu akiongoza ligi unaogopa maana mechi zinakuwa zimebaki chache.

Me sina wasiwasi najua hilo kombe linarudi tena pale anfield.kelele za man u zisitutishe kabisa wala kuogopa.huyo bruno wao wanao mtegemea ataumia tu wataanza kupoteza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom