Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Academy inazidi kunoga usajili mwingine huu hapa...

Liverpool have reportedly signed 16-year-old defender Stefan Bajcetic for a fee of around £224,000. Bajcetic, who was also attracting interest from Manchester United, has joined from Spanish club Celta Vigo. Liverpool are also claimed to have completed a deal to sign 15-year-old left-back Calum Scanlon from Birmingham City.

YNWA
 
Asante sana kheri ya mwaka mpya pia..

Ubingwa upo mikononi mwetu endapo tu nafasi chache tunazopata zitakua magoli na huku Allison kuendelea kutulinda kutopoteza mechi...

Pamoja na kukataa tamaa kwa wengi juu ya matokeo hafifu tunayopata binafsi naona hatupo vimbaya sanaa..

Ifahamike usajili uliobadili hii timu na kutufanya serious contenders na hatimae kushinda vikombe hivi ni..
Aliison

VVD

Fabinho

Salah...

Kwa sasa hawa wawili hawapo VVD majeruhi na Fabinho hachezi nafasi yake hivyo tunakosa output yake pale kati..

Naamini timu yoyote yenye kikosi cha wastani kama yetu wangeteseka kuwakosa star performers wake kama ambavyo tunateseka sis japo tunakocha mwenye system inayowafanya wachezaji kung'ara hakika tushukuru kwa hilo..

In everything give thanks...

Future is bright...

YNWA
. Ni kweli kabisa mkuu Ila hatupo serious kabisa wewe imagine tumetoa dro na Wale Albion tukiwa ANFIELD afu hao hao Albion wamepigwa na Leeds 5 wakiwa kwao Sasa pata picha Sisi hatupo serious wachezaji hawajitumi kabisa mkuu
 
Leeds wanacheza high octane football and when they are on song they are unplayable...

Cha msingi tunaanza 2021 tukiwa tunaongoza Ligi...

Kwa sasa tazama mazuri tu top in EPL na hizo disappointment zisuktishe sana ndugu Klopp wanajitahidi sana kurudisha vijana kwenye kiwango...

. Kumbuka tupo mbele kwa mchezo mmoja dhidi ya City mkuu naamini tutachukua ubingwa ila hizi masihara mpaka Lini sikatai kuwa Klop anajitahiji ila Vip kuhusu wachezaji kujitoa?
Kuna ule msimu City alichukua ubingwa kwa point moja ule msimu City hakuwa Bora ila kilichomfanya achukue ubingwa Ni kutokana na kuogopwa na timu pinzani Sasa Sisi Hatuogopwi kwasababu tukiwa uwanjani hatujitumi Tatizo kubwa hilo
 
Manchester City alipata pointi 98 na Liverpool alipata pointi 97..pamoja na mengi sana yaliyochangia ifahamike Manchester City msimu alishinda mechi zote 13 za kumaliza ligi (i stand to be collected)..

Ubingwa tuliokosa pale tulivyotoa sare na West Ham, Everton, Leicester, Manchester United na tukifungwo na Manchester City mpaka hapo ubingwa ukawa byebye... Na katika hizo gemu hakuna gemu ilishangaza kama gemu ya Manchester United kwani walikua hoi na majeruhi kibao lakini tukapata sare nyumbani kwao...

Hakika hizi sare unazoona sasa kama mzunguko wa pili zitakua hivi hivi hatuna uhakika wa kupata EPL ya 20 tena...

Our hope and wish ni kuona vijana becoming more clinical and lethal when its matters na gemu ya South Coast Jumatatu should be a good start back to winning ways...

YNWA
 
View attachment 1664665

J Carragher and G Neville EPL team of the 2020..

YNWA

Naona baada ya kukosa mbinu ya kumchomeka kwenye nafasi ya KDB na Bruno wameamua wamtoe Fabinho kwenye Kiungo Mkabaji na wamueke Mtoto wao mpendwa Henderson.
Labda iwe kuna Liverpool ya Nyamagana lakini hii ninayoijua mimi ya Uengereza basi sikumbuki mwaka jana kuwa Hendo alicheza kiungo Mkabaji.
 
🗓 2018: Most points (88)
🗓 2019: Most points (98)
🗓 2020: Most points (77)
🗓 2021?????

For the third year in a row, no Premier League team won more points than Jürgen Klopp's Liverpool. 💪
 
H
. Kumbuka tupo mbele kwa mchezo mmoja dhidi ya City mkuu naamini tutachukua ubingwa ila hizi masihara mpaka Lini sikatai kuwa Klop anajitahiji ila Vip kuhusu wachezaji kujitoa?
Kuna ule msimu City alichukua ubingwa kwa point moja ule msimu City hakuwa Bora ila kilichomfanya achukue ubingwa Ni kutokana na kuogopwa na timu pinzani Sasa Sisi Hatuogopwi kwasababu tukiwa uwanjani hatujitumi Tatizo kubwa hilo
Ili la kutojituma kocha ndo anasababisha kesha kariir tim yake hataki iguswe wachezaji wana uhakika wa namba pesha ya kujituma inapungua.
Ujio wa Jota tumeona kocha alivo hangaika kumlinda Boby.
Front 3 yake isiguswe hata siku ikiwa mbaya kwa mchezaji anakomaa nae tu ndo tunapo kwamia hapo.
 
We ulitakaje kwani?...

Pambana kwanza na corona huko, michezaji takriban sita imetest positive,...Chelshit anaenda kujipigia miti kiulaini sana....
Sisi tunaenda kuvunja daraja kule

Goli sita tunampiga chelsea Kama kawaida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom