Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Niwe mkweli! Mimi sitoumia kwa kukosa Kombe msimu huu kwasababu Performance ya Timu yetu kwa sasa si yakubeba Kombe! Kitakachoniuma ni Manure kubeba Kombe! Bora tu abebe Man City ili Amani itawale 😂
Usiogope faza manure hana ubavu huo Maybe city ndo wakuogopa sio man u
 
Mi nimekuja kuwasalimia tu mashabiki wa liverpool. Bila shaka mnajua nitokako.
 
Mimi nahisi kama mnaelekeza lawama zenu kusiko.

Kevi De Bruyne anachukua tuzo ya mtoa assisst anayemfuatia ni Trent, liva kama Bayern, Madrid na timu nyingi siku hizi zinatumia attacking fullbacks. Na liva hua haitegemei kiungo kucreate chances au hata kufunga magoli.

Ndiyo maana Gini akiwa timu ya taifa hua ni scorer na assisster mzuri tofauti na akiwa liva. Mid ya liva kazi yake ni kusapot defense na kutibua mipango ya wapinzani. Chances atatengeneza Trent au Robrtson scorer atakua Mane au Salah.

Binafsi nafikiri Jota hatokua na consistentcy ya kuscore kwakua liva imetengenezwa scorer kua RWF au LWF. Na kulaumu kiungo kukosa ubunifu siyo sahihi pia kwakua hata usajili wa Thiago haukulenga aje kufanya huo ubunifu.

Akiwa bayern thiago hakua na majukumu hayo badala yake goretzika ndiye alikua ana hili jukumu na uhuru wa kuingia mpaka ndani kwenye boksi. Muda huo thiago anakua nje ya 18 no wonder hana assisst.

So klopp anajua kwake mid siyo ya kucreate chance ila fullbacks ndiyo wenye hiyo kazi. Ukisema mid haina kazi haijaonyesha ubunifu klopp anaona imefanya kazi yake vyema ya kusapot defense ndiyo maana hamjapigwa goli.
 
A bit shaky coming from the Champions..

Losing unnecessary points to this mickey teams...

Klopp should drop one of his favourite 3 and do Crystal put Takumi there to make em click...

Next game away at Southampton not a good one...

Things becoming elephant day by day..

YNWA
ukishaona kuna mido ya Milner na Hendo bora ukaendelee kulala..... hii mido hata last season ilileta upumbavu mwingi sana!

takataka tu haya maingereza
 
ukishaona kuna mido ya Milner na Hendo bora ukaendelee kulala..... hii mido hata last season ilileta upumbavu mwingi sana!

takataka tu haya maingereza
Ni ma supa bums ndugu hamna kitu pale..

Hendo ni kama anarudi kuleeee tulikomzoea aisee...

Tunajiletea presha kali sana aisee...

Klopp is the architect of our success and too bad he is also architect of our failures..

Kona zaidi ya 7 bila majibu ya kueleweka.. Hii haikumbaliki...

Sasa tunawatia hamasa wanaoutaka ubingwa to take advantage of our toothless scores...

2 aways wins in EPL is not acceptable by any means... We are deep shit guys the earlier we accept this as the reality the better...

YNWA
 
Mimi nahisi kama mnaelekeza lawama zenu kusiko.

Kevi De Bruyne anachukua tuzo ya mtoa assisst anayemfuatia ni Trent, liva kama Bayern, Madrid na timu nyingi siku hizi zinatumia attacking fullbacks. Na liva hua haitegemei kiungo kucreate chances au hata kufunga magoli.

Ndiyo maana Gini akiwa timu ya taifa hua ni scorer na assisster mzuri tofauti na akiwa liva. Mid ya liva kazi yake ni kusapot defense na kutibua mipango ya wapinzani. Chances atatengeneza Trent au Robrtson scorer atakua Mane au Salah.

Binafsi nafikiri Jota hatokua na consistentcy ya kuscore kwakua liva imetengenezwa scorer kua RWF au LWF. Na kulaumu kiungo kukosa ubunifu siyo sahihi pia kwakua hata usajili wa Thiago haukulenga aje kufanya huo ubunifu.

Akiwa bayern thiago hakua na majukumu hayo badala yake goretzika ndiye alikua ana hili jukumu na uhuru wa kuingia mpaka ndani kwenye boksi. Muda huo thiago anakua nje ya 18 no wonder hana assisst.

So klopp anajua kwake mid siyo ya kucreate chance ila fullbacks ndiyo wenye hiyo kazi. Ukisema mid haina kazi haijaonyesha ubunifu klopp anaona imefanya kazi yake vyema ya kusapot defense ndiyo maana hamjapigwa goli.
Mkuu umesema sahihi kabisa ila kuna jambo moja unalisahau.. Hao MF wetu wasipo dictate mchezo unadhani hao LB na RB watapata wapi huo uhuru wa kupeleka mashambulizi...

Shinda kuu nayoiona ni kama vile tuna hati miliki na 4 3 3 week in week out.. Matatizo yanaanzia hapo ndugu maana timu pinzani wanajiadaa namna ya kuizima 4 3 3 na hakika wamefanikiwa..

Chamberlain amepona, Thiago amepona, Shaqir amepona na Takumi mzima meaning Klopp hawezi sema hana asset za kubadili mfumo may 4 4 2...

When 4 3 3 is proper utilised man utapenda maana hua ni mchaka mchaka na ushindi juu ila ikizimwa kama jana lol utaichukia mno....

Manchester City wao ni 4 3 3 any day of the week na wanafanikiwa kwa vile wachezaji wa kwenda na flow wanao japo nao wakikutana na kupaki treni wanakwama tazama mechi yake na WBA alitoka sare...

Ni wakati Klopp aje na mfumo mwingine huu wa sasa timu pinzani wameshatujulia..

Kingine jana Firmino na Salah walikosa clear cut chances at point blank... Kwa kweli Messi na Ronaldo walipwe hizo 💵 au £500,000+ week maana wana consistency kufunga.. Hawa wa kwetu dry spell sasa inawakata wote kwa pamoja...

Get well Jota...

YNWA
 
Its cant get worse than this..

Liverpool boss Jurgen Klopp has confirmed Joel Matip will miss the next three weeks after limping off in the draw against West Brom on Sunday.

YNWA
 
Baada ya kupata taarifa ya majeruhi kwa Jota, nimekata tamaa ya kuchukua ubingwa.

Jota alifufua uhai kwenye mashambulizi, na watu walianza kijituma kwa kuhofia kupoteza namba zao.

Ila sasa hivi ndo tunarudi kwenye uhalisia.

Things are showing up!

Ni noma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom