Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tunafeli sana sababu ya kukalili watu wa kucheza viungo kila game,holding middle fields zetu zainasababisha akina mane wachoke kuna kufuata mipira.viungo wetu hawana ubunifu same applies kwa forwards team sasa zimishatujulia ukisheza na Liverpool ni kupaki bus hutoboi.

Ukiangalia sisi na arsenal iliyonafasi ya 13 utofauti wa points ni 13 kwa game zilizobaki ni points chache sana maana yake hats hii top 4 tunaweza kuikosa mwaka huu klopp akiendekeza hiki kiburi chake cha kubadili wachezaji kutokana na aina ya mchezo.
 
Niwe mkweli! Mimi sitoumia kwa kukosa Kombe msimu huu kwasababu Performance ya Timu yetu kwa sasa si yakubeba Kombe! Kitakachoniuma ni Manure kubeba Kombe! Bora tu abebe Man City ili Amani itawale
Aanzie wapi kubeba

Hana huo uwezo
 
Niwe mkweli! Mimi sitoumia kwa kukosa Kombe msimu huu kwasababu Performance ya Timu yetu kwa sasa si yakubeba Kombe! Kitakachoniuma ni Manure kubeba Kombe! Bora tu abebe Man City ili Amani itawale 😂
Yaani manyua ndio wabebe kombe? Siamini kwa msimu huu
 
Niwe mkweli! Mimi sitoumia kwa kukosa Kombe msimu huu kwasababu Performance ya Timu yetu kwa sasa si yakubeba Kombe! Kitakachoniuma ni Manure kubeba Kombe! Bora tu abebe Man City ili Amani itawale
Man u anaweza kaa top after first time baada ya miaka miwili ....

That's why unaona wapo over hyped hvi ...

Curtis hatakiwi kuanza Tena ...

Na beki kule klopp asifanye ujinga wa kumwanzsha Rhys ...

Mi na hope Sana na hii team ...

Attack zetu kule mbele ... Salah mechi mbili hzi anaporwa mipira tunakua attacked
 
Kiungo Hendo, Milner , Jones klop aliamua tuu hii mechi tusishinde halafu sub anakuja fanya timu ina presha, ila yote tisa , kumi ni chance anazokosa Mo Salah, jamaa anaonekana kweli akili haipo Liverpool, ni muda wa shikir au Takumi kuanza huku tukisubiri Jota apone, Salah ni wakula ubao
Jones yuko vizuri sana yule dogo

Hendo,Milner ,Gini ni wachawi
 
Kloop.mpuuzi sana kaacha timu yoote ya ushindi nje kuamzake ungo kajaza Waingereza wachovu wote. Yule Curtis Jones ni kuingizwa dakika 10 za mwisho. Gini unamuacha nje. Thiago na Big Shak unamchezesha sunset Milner leo kanitibua sana huyu mjerumani.

Mkuu vip mngeshinda?
 
Mkuu vip mngeshinda?
Mkuu kama unaujua mpira kikosi kilichoanza cha Curtis Jones huku ukiwaacha akina Ox, Gini, Shaq nje ulitegemea ushindi. Makosa ya WBA ndio hayo hayo karudia jana. Shida JK anacheza mpira kusikiliza media za UK.
 
Kuna mtu hapo juu naona anasema klop angemwanzisha takumi.....nina uhakika takumi angeanza halaf tukadroo hv matus yake kwa klop yasingeelezeka
 
Mkuu kama unaujua mpira kikosi kilichoanza cha Curtis Jones huku ukiwaacha akina Ox, Gini, Shaq nje ulitegemea ushindi. Makosa ya WBA ndio hayo hayo karudia jana. Shida JK anacheza mpira kusikiliza media za UK.
Hv Curtis jones alifel wap kwenye mech ya jana kama kiungo??naomba muongozo
 
Hv Curtis jones alifel wap kwenye mech ya jana kama kiungo??naomba muongozo
Uliona ubunifu wowote wa kulink timu. Halafu fuatilia sana michezo ya nyuma siku Jordan na James wakiwekwa katikati timu inakuwa haina ubunifu kbs. Curtis kumbuka pia ni under 20 ya LFC, hauwezi kuacha senior kama Gini ama Ox. Hakuwa na utengenezaji mzuri jana wa daraja la kulink
 
Kupanga timu huangalii kushambulia tu unaangalia na kushambuliwa pia......japo kumuanzisha milner jana hakukuwa na umuhim wowote coz newcastle siyo timu ya kuishambulia liverpool ila kwa jones hakuwa na shida kwa sababu chances zilitengenezwa na ndo kazi ya viungo hiyo kutengeneza chances

Kwa henderson mtu akilalamika kuanza kwake nitamshangaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom