Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,854
Expectations kills






Anafurahia zile Sideways pass za Mashoga zake HENDERSON + MILNER.Kiungo Hendo, Milner , Jones klop aliamua tuu hii mechi tusishinde halafu sub anakuja fanya timu ina presha, ila yote tisa , kumi ni chance anazokosa Mo Salah, jamaa anaonekana kweli akili haipo Liverpool, ni muda wa shikir au Takumi kuanza huku tukisubiri Jota apone, Salah ni wakula ubao
Asante sana mkuu kunisalimia!MwanaLiverpol halisi ni muda kidogo sijamuona jukwaani, ni vile Mambo ya mihangaiko yamekuwa mengi au kwasasa timu ipo vizuri ameamua kupumzika.
Malafyale
Anafurahia zile Sideways pass za Mashoga zake HENDERSON + MILNER.
Haina shida, kila mtu ashinde mechi zake tu!Poleni majogoo , sisi utd tunamfukuza mwizi kimya kimya, kumbukeni tukishinda kiporo chetu tuna-equal points![]()
Mzee Klopp kazingua sana hiyo jana! Kulikuwa na sababu gani ya kumwachia Jones dakika zote hizo? Kulikuwa na sababu gani ya kumwachia Salah dakika zote hizo? Alishindwa nini kumwanzisha Minamino au Gini hapo katikati? Tumejitakia wenyewe!Hivi Big Shaq aligusa hata mpira kweli???
Hahahahahahahahah just in 92 minutes hahahahahahahahah