Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Unajua tangu aodoke babu Fergie hawa Stretford boys hawajawai kua optimistic kama walivyo sasa na matokeo uwanjani yanakwenda powa kwao japo jambo moja muhimu sana wanalisahau star player wao Bruno akinasa Covid haha wataadamana kwenda Brunel Building
57 North Wharf Road London kusema EPL isimame mazima 😛😛😂😂😂😂😂......
YNWA
Hahaha, wanajua ligi ikisimama moto tutakaorudi nao ni wa nguvu.
Maana tutakuwa tumepona kiasi, na wao hii run itaanza upya.
Hawa inabidi tukomae tuwafunge game yetu ili gap liwe kubwa.

