Mechi moja ndani mechi 5 nje....Matip auzwe tu
Big Sam anaotea Draw huyu! Akija akirudisha Goli basi imekula kwetu.
Dah tumezingua kizembe
Tunakuja ku-draw mechi ya kipumbavu hivi? Hawa jamaa wapuuzi sana!Tumefanya uzembe mwingi tokea mwanzo wa mchezo
[emoji44][emoji44][emoji44]Whats Poppin' Big Sam?..Give me a favour..1-1 draw itakuwa siyo mbaya
Jones katuuuza
Wasteful 1st half...WE GO AGAINNNNNNNNNN.