Very humble dude.
Tatizo waafrica mnapenda kuchukulia kila kitu ni racial thing, so kila litalotokea mnatafta sababu ya kuweka racial thoughts humo,Wage structure ya LFC, haijafika 200k p/w, hatuna mchezaji anayelipwa hicho kiasi initially.
Salah, alivyo-sign his new deal, reports zikawa ni kaongezewa wages mpaka 230k p/w, but kwa structure yetu kufikia huko tunakuwa tumeharibu utaratibu wote, so kama namlipa Salah 200k (after tax), it means kwa week anaweza akawa anapata si chini ya 250k (pamoja na bonuses za performances/goals/assists etc), hizi bonuses zipo kwenye kila MIKATABA ya big players, sasa FSG hawawezi kuruhusu inital wage ifike/ivuke 200k
Bonuses, siyo initial wages, but huwa zinakuwa included pamoja na wages, so unaweza ukakuta kwenye mkataba wa Salah, kuwa akicheza mpaka dakika ya 60/75 ana bonuses, akifunga goal ana bonuses, akiwa Man of the Match ana bonuses, akitoa assists ana bonuses, etc, so kwa Club kama yetu hatuwezi ku-offer initial Salary ya 200k p/w, kwa maana ya kuwa Salah ana wastani mzuri wa kufunga/assist/kucheza dk 90, so ingekuwa ni zaidi ya 250k-270k p/w, bado hatuna uwezo huo, na ndiyo maana kama tukimnunua Mbappe, itatubidi tu-reshuffle our wage bill, maana he will demand 280k-300k as initial salary and after tax, so ukijumlisha bonuses itaenda mpaka kwenye 350k-370k..
Salah, hajafika 200k, but sometimes ni extra bonuses zinazofanya kwa week apate net ya 200k na zaidi..
Mfano, last season we won the league, but we registered thin-profit margin kwenye books, maana Club ilitoa bonues kwa kila mchezaji baada ya kushinda LEAGUE, huge bonuses.
Dah juzi katembea kweli asiumie tu huko mazoezini
Tatizo waafrica mnapenda kuchukulia kila kitu ni racial thing, so kila litalotokea mnatafta sababu ya kuweka racial thoughts humo,
Ukiisakama racial segregation utaipata tu ata kwenye jambo la kawaida
Na lalamikalalamika hii ndo inayoendeleza mambo ya racism yaendelee
Ivi unahisi dunia nzima ikiimba "black lives matter" inasaidia au inatuaibisha, only stupid people watadhani inasaidia weusi ila in reality inaua, though kwenye employment itasaidia lkn, but the only problem with us ni kudhani kuimba racism kunawasaidia waafrica, but in fact our only stupidity is what is killing us
Ngwaba, vipi tena? ongeza nyama nyama basi.....!Tajiri kaibuka tena na tabia ya alipoishia
Unajisikia raha??? Duh!!Akiwepo jukwaani huwa najisikia raha sana.
Wachezaji wa liverpool mishahara yao ni mbuzi. Hawana tofauti na wafanyakazi wa alamashauriEndeleeni kuwalipa wachezaji wenu hela za mboga tu
Nyie hamna uwezo wa kumlipa hata mchezaji mmoja wa City
Timu bahili Kama jiwe




Towa upumbavu hapa. Liverpool katushikia nafasiTop of the table at Christmas
Liverpool
Lyon
Bayern Munich
AC Milan
Atletico Madrid


Very very humble in deed and down to earth guy embracing the opportunities as they come....Very humble dude.
hope atakuwa na career nzuri at LFC.
Mike Edwards is looking at Elder Militao..Very very humble in deed and down to earth guy embracing the opportunities as they come....
Lets sky be the limit..
YNWA