Shangaaa wewe ha ha haaaInawezekana vipi Maddison yuko offside na Son hakuwa offside siku ile. VAR ya nyoko
Hakuna...Spurs wapigwe tu ili kidomodomo aseme "the best team lost". Leicester wataishiwa pumzi huko mbele.Ila wangetoa droo hawa wapuuzi ili tuzidi kuwaacha
Sio lazima uamie, mahaba tu yanatosha. We endelea kutembelea hapa jukwaani tu maana wewe ni mdau wetu. Haya King Ngwaba anajua.Sijui nihamie liverpool..
aargh nimegairi bora nibaki na chama langu tu.
#CFC![]()
Hahahaaaa..... shubaaaamit!Don't worry, man.
Having seen how our fiercest rivals ManCity are fairing, am convinced we'll go on to retain the EPL come May 2021. ManCity remains the biggest (I can even safely say the only) threat to our EPL retention bid.
Am not worried one bit by those also-rans and pretenders (the likes of Spursy, Chelshit, Manure, Leicester, etc).....these will all crumble spectacularly at some point in the course of the season.
Jose na Spurs tulishawalegeza ndugu hahaha....
Mkuu tangu ametua Klopp hakuna mchezaji aliejoin kwa ajili ya apate zaidi kuliko alipokua wengi wamejiunga nasi kua sehemu ya Klopp Liverpool revolution na wamefanikiwa kwenye hilo ndugu kwani tumeshaheni ma trophy ya kila aina...Hii ya kutoa mikataba kwa khofu ndo inayo pelkea baadhi ya wachezaji kucheza chini ya kiwango lazima tim iwe na mpango wake na uheshimiwe anaetaka zaidi aende akapo pata zaidi Man u tunawashuhudia na mishahara yao.
Gini analipwa ngapi je Hendo?
Hii msishangae mtu anaamua kuchagua mechi za kucheza atakavyo
Hivi Wakuu haya maneno ya bila Salah tunacheza vizuri yamekaa aje kwamba kwa mfano wenye timu yao wakiamua kuuza kati ya Salah na Mane nani atangulie kuuzwa maana hakuna asiekua na bei...
Ukitazama kwa umakini utaona Mane kwa sasa ni bora atoe pasi kama anaona hajakaa kwenye nafasi bora ya kufunga lakini kwa Salah ni tofauti yeye hua ni kushot na kushuti ndio maana hata most shot anaongoza yeye je haya ni maelekezo ya Klopp ama kajiamulia mwenyewe...
Mane ni team player kwenye hili anazidi kukua na kupunguza 'ubinafsi'...
Salah ni mfungaji kwenye hili yupo makini ndio anaogoza EPL kwa sasa kama mfungaji bora meaning upo uwezekano wa kupata kiatu cha dhahabu kwake.. He is averaging 1 or 2 goals per game this season...
Mambo ni mengi ..
Ningependa wabakie wote ila kama mmoja lazima auzwe basi kwangu ningesema bye bye Salah...
YNWA
Mane ana assist 2 Salah ana assist 3 EPL..Mane na salah nani anaongoza kwa assist?
Edwards ni noma sana aisee... Aache ubahiri atoe mpunga bhanaEdwards huyu huyu ndio wa kuongeza mshahara atakuwa yupo anatafuta mbadala wake
Muzee wa kapero Pulis haha yule hua anasakwa pale timu inavyotaka kushuka daraja aje kuokoa jahazi haha...Duh, ile mechi hata mimi iliniumiza sana! Sijui kale ka kocha kaliendaga wapi "Tony Pulis". Ndiko kalikatisha ndoto za ubingwa za Liverpool msimu huo!!