Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mane ana assist 2 Salah ana assist 3 EPL..

Mane ana goli 5 na Salah ana goli 14 EP

Mane ana assist 2 Salah ana assist 3 EPL..

Mane ana goli 5 na Salah ana goli 14 EPL...

YY

YNWA
Kwa takwimu hizo umeshaona kati ta salah na mane nani mwenye umuhimu zaidi?
Unasema salah ni mbinafsi lkn kwenye assist kamzidi mane
Mi ni shabiki mkubwa wa Liverpool ila huwa nikimtizama mane huwa anapoteza mipira mingi sana pale mbele tofauti na salah
 
Screenshot_20201220-205228.png
 
Kwa takwimu hizo umeshaona kati ta salah na mane nani mwenye umuhimu zaidi?
Unasema salah ni mbinafsi lkn kwenye assist kamzidi mane
Mi ni shabiki mkubwa wa Liverpool ila huwa nikimtizama mane huwa anapoteza mipira mingi sana pale mbele tofauti na salah
Ilikua hivi ndugu...

Takwimu pembeni je mbona bila Salah kama vile timu pale mbele inacheza kwa kuonana zaidi kuliko akiwepo..

Nadhani wanaangalia zaidi hakuwepo mechi ya Leicester na mechi ya jana pia na ile interview yake na AS na kuona kama vile maisha bila yeye inakua aje..

Ni utabiri ndugu hakuna ishu...

YNWA
 
Gini Wijnaldum is likely to depart on a free transfer next summer. Reportedly he wants double his current wages, He earns £75k p/w currently, double would take him to £ 150k p/w.

Yves Bissouma representative Michelle N'Cho has confirmed that his significant interest in Yves from Liverpool, Monaco,two La Liga teams and also Arsenal.

Bissouma is being closely followed by Liverpool ahead of the January transfer window ,with manager Jurgen klopp tracking him as a pontelial replacement for Wijnaldum.
Yves nilisoma Brighton wanasema bei ni £30m kwa bei hio wapo tayari kuuza...

Camavinga na Houssem pia ni option..

Kuna dogo yupo Borrusia Makachakala whatever 🙄🙄🙄🙄🙄 nae ana balaa...

In Edward i trust...

YNWA
 
Ilikua hivi ndugu...

Takwimu pembeni je mbona bila Salah kama vile timu pale mbele inacheza kwa kuonana zaidi kuliko akiwepo..

Nadhani wanaangalia zaidi hakuwepo mechi ya Leicester na mechi ya jana pia na ile interview yake na AS na kuona kama vile maisha bila yeye inakua aje..

Ni utabiri ndugu hakuna ishu...

YNWA
Nimekuelewa sana kop
Ila kwa mfano mechi ya Jana mane alicheza dk 75 akafunga goli 1 na assist 1
Salah hakucheza zaid ya dk 30 akafunga goli 2 na kuasisst 1
Mi bado naona mkweli pekee ni takwimu.
 
Kwa takwimu hizo umeshaona kati ta salah na mane nani mwenye umuhimu zaidi?
Unasema salah ni mbinafsi lkn kwenye assist kamzidi mane
Mi ni shabiki mkubwa wa Liverpool ila huwa nikimtizama mane huwa anapoteza mipira mingi sana pale mbele tofauti na salah
Hivi apart from ku assist huoni Mane anavyojitajidi ku create magoli? Anaweza aka assist mwingine lakini Mane binafsi namkubali anavyopambana uwanjani,
 
Hivi Wakuu haya maneno ya bila Salah tunacheza vizuri yamekaa aje kwamba kwa mfano wenye timu yao wakiamua kuuza kati ya Salah na Mane nani atangulie kuuzwa maana hakuna asiekua na bei...

Ukitazama kwa umakini utaona Mane kwa sasa ni bora atoe pasi kama anaona hajakaa kwenye nafasi bora ya kufunga lakini kwa Salah ni tofauti yeye hua ni kushot na kushuti ndio maana hata most shot anaongoza yeye je haya ni maelekezo ya Klopp ama kajiamulia mwenyewe...

Mane ni team player kwenye hili anazidi kukua na kupunguza 'ubinafsi'...

Salah ni mfungaji kwenye hili yupo makini ndio anaogoza EPL kwa sasa kama mfungaji bora meaning upo uwezekano wa kupata kiatu cha dhahabu kwake.. He is averaging 1 or 2 goals per game this season...

Mambo ni mengi ..

Ningependa wabakie wote ila kama mmoja lazima auzwe basi kwangu ningesema bye bye Salah...

YNWA

Dah! Yani Mkuu hata wewe umekuwa corrupted na mawazo ya Wa wasiojua Mpira?

Hii kauli ya kuwa asipokuepo ya Salah ndiyo tunacheza vizuri sijawahi kuisikia kwa Mtu yeyote anayejua Mpira zaidi ya Madogo wa hapa JF ambao kuna uwezekano mkubwa wa kuwa wameipenda Liverpool baada ya Kuja Klopp.

Huwezi kumuuza au kumbeza mchezaji ambaye huu ni msimu wa 4 mfululizo ndiye mfungaji wetu Bora.

Tuache ushabiki wa kukariri maneno ya Watu wengine wanaojisemea bila ya kuwajua Watu hao ni aina gani.
Usijeshangaa unaamini maneno ya Wanaosema hivyo kumbe ni Madogo wa Sekondari wanaangalia Matokeo wakiwa Boarding badala ya kuangalia mpira.
 
Hahahaha mkuu je is Salah bigger than Liverpool?

Ni hivi tunajaribu kuisoma ile interview yake na AS kwa mapana...

Je bila Salah tutakua salama kiasi gani nk...

Kama umefuatilia mijadala tofauti kuhusu hili swala utaona kuna baadhi wanasema kama anataka challenge mpya basi auzwe wengine wanasema kam ela kubwa basi apewe hua mshahala...

Ndio maana nikasema ni utabiri tu usiokua verified na Klopp wala Salah mwenyewe na Klopp alishasema its cool..

David James our former GK anasema Salah auzwe tu kama anahitaji changamoto mpya...

Nwa whatever Klopp decide am with him man...

YNWA
 
Nimekuelewa sana kop
Ila kwa mfano mechi ya Jana mane alicheza dk 75 akafunga goli 1 na assist 1
Salah hakucheza zaid ya dk 30 akafunga goli 2 na kuasisst 1
Mi bado naona mkweli pekee ni takwimu.
Ki takwimu Mane hachomoi maana Salah average a goal every 90 minutes huku Mane ni aroun 280 minutes... Mane offers more link of play, more interception nk....

Man kweli Klopp katubadilisha mentality leo hii mashabiki wana amani No Salah No problem kweli tunatembea kifua mbele...

Uzuri Salah mwenyewe yupo open kuongeza mkataba regardless ya ile interview hivyo tuwe na subira muda utasema...

YNWA
 
Nimekuelewa sana kop
Ila kwa mfano mechi ya Jana mane alicheza dk 75 akafunga goli 1 na assist 1
Salah hakucheza zaid ya dk 30 akafunga goli 2 na kuasisst 1
Mi bado naona mkweli pekee ni takwimu.

Yani kwenye Uzi huu ukitaka usielewane nao basi waletee takwimu! Yani kuhusu takwimu huwa hawataki kabisa watakurushia mpaka ngumi za uso.

Wao wanapenda muongelee hisia tu na stori za kwenye magazeti za hapa na pale.

Ukiwaambia nipe takwimu za Mane, Wtakwambia hana takwimu nzuri lakini anajitahidi!! Sasa hizo jitihada zake tuzipime kwa kitu gani? Watakwambia anahangaika uwanjani! Sasa hicho anachokiangaikia si tukipime kwa takwimu? Hapo ndiyo utakosana nao kabisa. Hili lilinitokea nilipotaka tumpime Henderson kwa Takwimu wajeba wakagoma.

Huyu Salah kinachofanya asipewe Heshima anayostahili ni Kutokuwa Muengereza tu! Angekuwa Muengereza basi angejengewa Sanamu.

Angalia walichokifanya Mane, Salah na Bobby kwa huu msimu wa 4 mfululizo basi Sifa zote zinaishia kupewa kwa Henderson as If anacheza pekeyake uwanjani.
 
Dah! Yani Mkuu hata wewe umekuwa corrupted na mawazo ya Wa wasiojua Mpira?

Hii kauli ya kuwa asipokuepo ya Salah ndiyo tunacheza vizuri sijawahi kuisikia kwa Mtu yeyote anayejua Mpira zaidi ya Madogo wa hapa JF ambao kuna uwezekano mkubwa wa kuwa wameipenda Liverpool baada ya Kuja Klopp.

Huwezi kumuuza au kumbeza mchezaji ambaye huu ni msimu wa 4 mfululizo ndiye mfungaji wetu Bora.

Tuache ushabiki wa kukariri maneno ya Watu wengine wanaojisemea bila ya kuwajua Watu hao ni aina gani.
Usijeshangaa unaamini maneno ya Wanaosema hivyo kumbe ni Madogo wa Sekondari wanaangalia Matokeo wakiwa Boarding badala ya kuangalia mpira.
Umenena sawia kop
Tuacheni porojo salah ni wamuhimu sana kwenye timu kuliko hata mane
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom