King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Angalia baada ya mechi kichaa kisije kikashtuka tenaLeo
Nasimama na spurs sina udungu na kuku mimi
Camooon spurssssssssd
Hahaha huyu Spurs kwanza pale Anfield hua hanaga bahati ya ushindi hivyo wanakuja wakijua muda wowote wanachapika aisee....Akawatwanga man u kwa hasira sana kuwaonyesha bado ana hasira nao
Halafu anamalizia na maneno ya shombo
1-1 draw will be a nice result for me tbh..Come'on Jose'
Eeeh mwenyez Mungu tazama hawa kuku, wanajinasibu kila siku kuwa anfield ni uwanja usiofungika.Angalia baada ya mechi kichaa kisije kikashtuka tena
Hawa kuku viumbe wa mwenyezi Mungu Leo utajua kama kuku nao ni viumbe au lahEeeh mwenyez Mungu tazama hawa kuku, wanajinasibu kila siku kuwa anfield ni uwanja usiofungika.
Kwa uwezo wako na nguvu zako, naomba ukawaoneshe kuwa upo na unauwezo wa kuwapa nguvu Spurs kwenda kuvunja zile kuku za anfield
Katende miujiza, ili nawao wakujue kuwa wewe ni bwana wa mabwana
Naomba haya yote, katika jina la baba,mwana, na roho mtakatifu
Wote tuseme amina..!
Eeeh mwenyez Mungu tazama hawa kuku, wanajinasibu kila siku kuwa anfield ni uwanja usiofungika.

Duuh hii wiki hiii ..na hizo pancha tuombe MunguView attachment 1651407View attachment 1651409
Ivi hii Mwanza Jiji haina Vibanda Umiza wala Lodge zenye DsTV? Jana nilishindwa kuiona game ya Man City na leo sijui kama nitaiona hii ya kwetu.
Yani kesho natimka hapa Usukumani
Bar ndo kwenyewe now days, vibandani mabechi unaumia tu mgongo na makalioUliza wenyeji mzee, hakuna jiji lisilo na vibanda umiza.
Au utafute sehemu kama bar wanakoonesha mpira.
Bar ndo kwenyewe now days, vibandani mabechi unaumia tu mgongo na makalio
Sawa leo West brom ni wachovuBaada ya kushindwa kuwafunga wachovu west brom naona unamrudia Mungu hahaha
Hayo maombi hapo juu, yana nguvu sawasawa na yale yaliyowatoa jasho dhid ya fulhamMungu haingilii Ugomvi wa Shetani
Mkuu mbona kama tulisha lijadili hili kipindi cha Gini Malner na Hendo?Nilikuwa nafanya research ndogo kuhusu Front 3 yetu nimegundua bado ni Tishio sana lakini inaangushwa kwa kufanya kazi zisizokuwa zao.
Timu ya mpira ina sehemu kuu 3
1 - Ulinzi (Kipa na Mabeki)
2 - Viungo
3 - Washambuliaji
Uhalisia wa Timu yetu
1) Tupo na Ulinzi
2) Tupo na ushambuliaji
3) Hatuna Viungo
Hivyo mpira unakuwa na part mbili ie. ni kati ya Ulinzi na Ushambuliaji bila ya kupata msaada wowote kutoka kwa Viungo.
Washambuliaji kufanya kazi zisizokuwa za kwao:
Baada ya kuwa Timu yetu imekuwa na Viungo wasiokuwa na uwezo wowote ule wa kuwasaida washambuliaji, Front 3 yetu imekuwa na kazi ya kushuka chini kwenye Boksi letu kutafuta mipira wao wenyewe na kuikimbiza juu ili watengeneze nafasi za kufunga, hii imetokana na kutopata msaada wowote kutoka kwa Viungo wetu.
Unaweza kuta ndani ya Dakika 90 Mane, Salah na Firmino hawajapokea pasi yeyote ya nafasi ya kufunga kutoka kwa Gini au Hendo.
Hii inawapa kazi kubwa sana Front 3 wetu na kuwafanya wachoke waonekane hawana uwezo kwasababu tu wamekosa Mtu wa kuwasaidia.
Imagine Front 3 hii yetu nyuma yao kungekuwa na Mtu kama KDB, Bruno au Pogba! Hivi unahisi kuna game ingeishia bila ya wawili kati yao kufunga goli? Yani wasingesumbuka kutafuta mipira chini na kujipasia wenyewe ili wafunge.
Kwakweli tunahitaji Mido wa kuwasaidia Washambuliaji wetu kwa kuwatengenezea nafasi za kufunga.
Uliza wenyeji mzee, hakuna jiji lisilo na vibanda umiza.
Au utafute sehemu kama bar wanakoonesha mpira.