Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi kuna list ya pass accuracy parentage Kwa timu zote?Kama ipo weka tuone

Pasi zetu nyingi hazimfikii mhusika bila yeye mwenyewe kuifata..
Powa powa Mkuu nacheki...

Kwa ile back four yetu kaka sitegemei tuwe zaidi ya hivi kama unavyoona mpaka Mane anarudi kuwasaidia hivyo tutegemee kuona hali hivi hivi mpaka pale majeruhi wenye namba zao wakirejea...

YNWA
 
1st goal. Salah
1607287169971.gif
 
Hawa Wolves ni mbwa kweli kweli, wakielekea Kibla ni kuwachinja chap.
Msimu huu hadi madogo wanabana point, Ila kitakachoibeba Liver ni ile trophy winning mentality.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom