Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Toka JOTA aliposajiliwa Liverpool nilikuwa sijamueka katika nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza cha Liverpool! Sio kwamba nilikuwa simuamini ila nilikuwa ninamuangalia game after game kuprove uwezo wake hasa suala la Consistency, but tayari ameshaprove uwezo wake.

Now JOTA made fore Liverpool
 
Soon utawaona Real Madrid au Barcelona wakileta ofa nono mno kumnasa huyu jamaa...

Ana miaka 23 tu ki ukweli Pepijn Lijnders hakukosea kumpigania mpaka tukapata saini yake huyu dogo...

Akasaini mkataba wa miaka 5..

Jota the new Kop favourite boy...

YNWA
 
Mpaka sasa sijaelewa Evans alikusudia nini pale alipojifunga.
Hakuwaza mpira mbali aliwaza kumbana zaidi mchezaji wetu...

Sio wiki nzuri sana kwake maana Kimataifa nako alichoma hivi hivi...

Atajiju ninachohitaji ni pointi 3 murwa nyumbani na rekodi mpya ya ushindi wa nyumbani chini ya Klopp...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom