mazengo worriors
Member
- Aug 12, 2020
- 54
- 87
Tangu tuwe na injuries za kutosha uzi nao umepata injury maana members mnasuasua mno
Tottenham anaanza kunitisha.
Members wamejiongeza wanajua wajayo yanasikitisha huu mwaka mzito sana.Tangu tuwe na injuries za kutosha uzi nao umepata injury maana members mnasuasua mno
Wanaweza chukua ubingwaTottenham anaanza kunitisha.
Ana upungufu wa kinga yule.Salah na Corona ni Kurwa na Doto
Liverpool ni Liverpool acha kubagua wachezaji Mzee.Kikosi cha kwanza (XI) tayari 7 wapo nje
Walinzi wote:
1) VVD
2) GOMEZ
3) ROBBO
4) TAA
Viungo 2:
5) FABINHO
6) HENDERSON
Mshambuliaji 1:
7) MO SALAH
Ambao wapo Fiti kwenye kikosi cha kwanza ni 4 tu:
Kipa:
1) ALISSON BECKER
Kiungo:
2) GINI
Washambuliaji:
3) MANE
4) BOBBY
Wengine:
- Rhys Williams
- Thiago Alcantara
We mzee baba huwa unanifurahisha sana, eti "Mourinho alikuwa anafukuza mwizi kimya kimya" hahaaa...Mourinho alikuwa anakimbiza mwizi kimya kimya, ila kwa matokeo ya jana watu wataanza kumwongelea tena.
Hana thamani aliyopewa Jota ni mzuli kuliko yeye subili utajuaUnakubali kwamba Timo Werner ni mtu na nusu? Ni Jota watano? Ni Salah watatu? Ni Firmino wanne, ni Mane mmoja?
Basi tegemea kuona mabeki na makipa wakiendelea kupata tabu.
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app

We mzee baba huwa unanifurahisha sana, eti "Mourinho alikuwa anafukuza mwizi kimya kimya" hahaaa...
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Man city hana nguvu tena mana usajili wake haoja ongeza chochote tena waliondoka wazuli kuliko aloo sajili
Wameshakwama
Tottenham anaanza kunitisha.
Mimi nahisi Chelsea ndiye anayetisha kwa sasa na anaweza kubeba EPL msimu huu.
Bado ni mapema wacha tusubiri tuone Chelsea Consistency yao.
What A Game!!!Next week Chelsea vs spurs