Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,141
- 21,279
Niko mtaani hapa, sioni ramani kabisa, umri unaenda, mwili unanisumbua unataka kuoa, pesa haionekani, huna hela hapa mjini kila mwanamke anakuona kikalagosi ni virugu na kichwa kuchanganyikiwa, mpaka sasa sina nacho miliki (26 year Old) zaidi ya
-Account tatu za kubet ,betpawa ,1xbet,premiaer bet
-Degree moja, educationa (eco na geo)
-Simu tecno wx3
-Sina pesa
-Sina demu
-Naishi kwa shemeji, (hapa uhakika kula upo)
-Sina hata geto (hiki ndio kinaniumiza akili)
-Nadaiwa Loan board
Natafuta kazi za kufanya kujitoa kwenye hili wimbi linalonizunguka ,naangukia pua, biashara ngumu, kila nikifanya mtaji unapotea miujizically,tabu kweli kweli