. Sawa mkuu MAOMBI kwa chama letuIshu ya injury Mkuu ni ajali kazini hata wao wenyewe they are damn fed up kua mezani kwa ma dokta...
Tazama VVD alivyoumia huku akiwa amecheza tangu Jan 2018 bila major injury mpaka pale anaumia kwenye derby..
I just wish them all the best wapone..
Injuries za hawa jamaa ni well documented hata kabla hawajaja kwetu hivyo tuwe na subira...
YNWA
Jamaa alijilinda sana kutoumia yaani mpaka pale kwenye derby ikawa vile.. Na uhakika Ox au Nabby wangekua wanajilinda kama VVD wasingekua wanaumia ovyo ovyo kama sasa..Vvd kuumia mrefu ilkua ni lazima na niliona kabisa
Huwezi bishana na nature aisee
AT ilikua plan B kaka hivyo hata hio £160 he is a lucky dude...Sawa tuuuuuu
Walichomfanya Barca hatakuja kusahau ,Karma is real
Kutoka mshahara wa £300k akajikuta anajibembeleza kwa Atletico waliombamiza mshahara wa £160k wakati kuna wachezaji tena sio strikers wanakula zaidi ya £250k na tena wengi tu pale shame on him tena kwa umri wake wa 33 years
At Ajax to get even £70k I don't reckon that, they cannot afford such sumsAT ilikua plan B kaka hivyo hata hio £160 he is a lucky dude...
Plan ilikua atue Juventus kwa mshahara zaidi ya £200k per week... Alikwama kwenye mtihani apate pasi ya Italy kwa vile Juventus walishajaza non EU players slots hivyo asikwenda pale...
Kutua Wanda Metropolitan he is a lucky boy in deed..
Maana ilikua akikosa hapo arejee Ajax na kule hata kupata £120k kwa wiki ingekua ishuuu..
YNWA
Seems after this crazy celebration the Kops cursed the boy...Suarez Scoring against Liverpool.View attachment 1621333
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Mkuu bado una imani na Keita kuja kua a real HIT hapa Liverpool 😂😂😂....Vipi Keita ?
Man Keita is our one and only midfielder that has ability to carry the ball forward , this dude is the 'ball carrier'Mkuu bado una imani na Keita kuja kua a real HIT hapa Liverpool [emoji23][emoji23][emoji23]....
Kwa sasa kuliko Keita aanze bora nimuone Jones aanze.. Boy has talent and he will get better with time..
Keita wapewe RB aafu tuongeze ela kiduchu tumpate Dayot...
YNWA
Absolutely true Keita is a baller that i can't say otherwise... My only worry is the boy has lacked that extra sense to know how to operate without getting a hit here and there.. He is a bit heavy 😂😂i would say..Man Keita is our one and only midfielder that has ability to carry the ball forward a dude is the 'ball carrier'
Our Gaffer had not reaped the best out of this lad, a superb and talented lad I say
See what is happening with Wijnaldum there, a baller with a talent to get us goals and many many goals I believe, but instead our Gaffer had and continue on playing that dude at defensive midfield
Every story has a beginning and fabulous Jota story is just unfolding... There will be ups and down.. At 23yrs he has all the time to make history with the mighty Reds..hold ua guns guysWe have new LFC.
Hatuna beki sasa hivi, the best thing we can do is defending by offending, with Jota in for Bobby, that's game.
Pole ndugu hope Bi Mkubwa afya imeimarika..Daa! Yaani nipo hospital namuuguza bi mkubwa. Na chungulia lives ore naona jotaa anazidi kunipa tabasamu katikati ya huzuni.
Anyway Mungu naomba mponye mama.
YNWA
Keita naona atumike kama bargaining tool kumpata Dayot pale RB...Hivi OX na KEITA tutawajadili saa ngapi?
Coz nikiangalia Mshahara wanaokula na kile wanachodeliver kama haviendani!!!
Ni bora tu waende sehemu nyengine wakajatibu bahati zao.
Ua wish shall be granted Salah atakwenda Olympics 😂😂😂...Mane na Salah mmoja aondoke wazo langu tu
Laweza lisiwe sahihi Ila kwenye tv tu naona wasivopendana
LIVE MUDA HUU: ITAZAME MECHI YA BARCELONA VS REAL BETIS LIVE KUPITIA SIMU YAKO BOFYA LINK HII[emoji117][emoji117][emoji117]
Download application | J FOOTBALL & MOVIE TVS
Android application: J FOOTBALL & MOVIE TVS, LIVE TV AND NEWSwww.appcreator24.com
And Klopp said there is a reason Carragher aint a Coach or Manager 🤣🤣..When Sky pundits were discussing about who should Jota replace among the front three Jamie Carragher admitted that Firmino is no longer a threat in front of the goal