Current form ndio tunayoisemea hapa ,Hatuongelei Historia Mkuu.Kuna watu Kama hamuelewi Boby kumbukeni Ni Bado Sana kumlinganisha Jota na Bobyou
Boby Ni zaidi ya yeyote pale Liver






. Acha utani mjumbe unadhani anayoyafanya Boby Jota atayaweza? Hatukatai kwamba jota anaonyesha thamani yake Mimi mwenyewe namkubali Sana ila wanaosema jota atamuweka bench Boby wajipange hatoweza HiloMzee tunaongelea impact kwa sasa wewe unaleta historia. Kuna mtu asiyemjua Firmino humu?
The issue ni kwamba jamaa kadrop. Kawa very blunt. Mpira ni ushindani boss. Mtu akija akiku outperform unakaa benchi.
ni swala la muda tu mkuu.Siku si Nyingi Jota mtasikia kawa world class player msije sema sikuwaambia.
Sent using Jamii Forums mobile app
. Nadhani hujasoma post za wengine ishu siyo history issue Ni kwamba wanasema Boby akae bench hivi unajua wanaotuangusha pale Liver Ni Salah na Mane?Current form ndio tunayoisemea hapa ,Hatuongelei Historia Mkuu.
game ilikuwa inaonekana ngumu ,kumbe nyepesi tu. hao atalanta ndio mara ya kwanza kwenye history tunakutana.Siamini kama ili jeshi la atalanta linavyokimbiza Italy kwa beki ya William na gomez tumewashindilia 4.hata siamini
Daa! Yaani nipo hospital namuuguza bi mkubwa. Na chungulia lives ore naona jotaa anazidi kunipa tabasamu katikati ya huzuni.
Anyway Mungu naomba mponye mama.
YNWA
Kuna watu Kama hamuelewi Boby kumbukeni Ni Bado Sana kumlinganisha Jota na Boby
Boby Ni zaidi ya yeyote pale Liver
Unavyosema hataweza unatumia hoja gani haswa? Na mbona hivi sasa tayari keshawekwa benchi?. Acha utani mjumbe unadhani anayoyafanya Boby Jota atayaweza? Hatukatai kwamba jota anaonyesha thamani yake Mimi mwenyewe namkubali Sana ila wanaosema jota atamuweka bench Boby wajipange hatoweza Hilo
. Naomba nisikuvunjie heshima kilichotumika leo li game plan siyo kwamba Boby kawekwa bench na jota kumbuka Atlanta Ni timu ya aina gani mkuu inahitaji uwe na Nini kupambana nao maybe Boby asifunge msimu mzima Ila cku Boby akifunga wataopata shida Ni kina Gini mkuuUnavyosema hataweza unatumia hoja gani haswa? Na mbona hivi sasa tayari keshawekwa benchi?
Jota mpaka sasa tunapoongea, kafunga magoli saba (07).
Kwenye ligi tu kati ya appearance tano ambazo kati yake kaingia sub mara tatu, tayari ana goli 3.
Kwenye UEFA mechi tatu goli 4!
Serious? Awekwe benchi na Bobby ambaye mpaka sasa ameanza na kucheza mechi saba za EPL akiwa na goli 1. UEFA mechi tatu hamna goli hata moja?
mliokuwa mnataka jota awe anaanza bobby akae bench naona klopp amesoma comments zenu.ila bobby ataanza kuhisi kitu kwenye mechi ya leo.
Bobby bhana muda wa kazi huumliokuwa mnataka jota awe anaanza bobby akae bench naona klopp amesoma comments zenu.ila bobby ataanza kuhisi kitu kwenye mechi ya leo.


.Omba Sana asiumie tuyafurahie ila kwangu Mimi Boby Ni mchezaji hatari SanaKila zama na kitabu chake.