Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

. Kabla hujaanza kuongea Sana jiulize mwenyewe je anapewa mda wakutosha kucheza? Utamuonea wakati anacheza dk20 unataka aonyeshe Nini Sasa tatizo lipo kwa Klop anazingua Vibaya
 
Washambuliaji siku hizi wanawahi lile eneo la kufungia tamaa zimewazidi mpaka wanapeana pasi za kususa.

Wanasahau kuitumikia tim mafanikio yangewafata.

Kopp ache kupanga majina sasa apange wachezaji
 
Huyu nae kero yake majeruhi habaki uwanjani kwa mda mlefu ni mtam sana na makusudio yake yanaonekana

Apewe dakika 30 za Salah sio kumpanga kati mana naona hua analazimishwa kati kuhofia front 3
 
Kwa sababu anawaza afunge tu mpaka anapaniki
hilo ndio tatizo,ndio maana kunamsimu tulikosa ubingwa unakuta hayuko kwenye nafasi nzuri ila anarazimisha kufunga ili awemfungaji bora .msimu uliopita tulikubaliana kwamba waachane na ufungaji bora tuchue kwanza ubingwa sasa ubingwa tumechukua ,sasa hivi anatafuta kiatu kumbadilisha mawazo kazi sana.
 
Huyu nae kero yake majeruhi habaki uwanjani kwa mda mlefu ni mtam sana na makusudio yake yanaonekana

Apewe dakika 30 za Salah sio kumpanga kati mana naona hua analazimishwa kati kuhofia front 3
mkuu hapo kwenye kumpanga hizo dak 30, salah ataanza kukasilika maana hiyo front 3 hapo labda firmino ukimtoa ndio anakuwa mpole,na kingine hiyo front 3 au salah, sio muda wote wanafanya vibaya kuna mechi nyingine huwezi kuwatoa au kumtoa salah mashabiki tutakuwa tunashangaa .
kuna msimu salah alikuwa anatolewa akitolewa tu magoli yanaanza kurudi watu tunaanza kumlaumu klopp anamtoaje salah wakati salah ndio tishio.
 
Minamino basi tena juzi kajimaliza na mwenzake Origi team imewazidi ukubwa waende kunapo wafaa
Bora minamino huyo ananjaa ya mafanikio,origi ameshalizika. baada ya kumuongezea mkataba tu ajitumi tena maana hakuna cha kumfanya na mshahara tunamlipa, akicheza asipo cheza yeye sawa tu.

kipindi kile mkataba unakalibia kuisha ilikuwa karibia kila mechi lazima afunge na unamuona kabisa anapambana.
 
Minamino basi tena juzi kajimaliza na mwenzake Origi team imewazidi ukubwa waende kunapo wafaa
. Hao mi naona Ni Klop ndo anazingua akiwapa mda machali wataonyesha uwezo Mzuri kwelikweli Origi Ni Mzuri kwenye umaliziaji Minamino Ni Mzuri kwa kupandisha mashambulizi na ufungaji tatizo lipo kwa Klop Mtu Kama Shakiri jamaa Ni hatari Sana lkn Klop anawaamini Hendo na Babu Milner Hawa wajumbe hada milner aondoke kwa kweli
 
Wakuu game ya leo vp naona tutapigwa au tukipata droo tushukuru
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…