wingatereza
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,347
- 1,740
Antonio majeruhi hata sub hayupoSisi Westham tuna uhakika leo tunaondoka na point hapa.
Antonio atafanya kweli mapema
Kila la kheri Westham 💪💪💪
Antonio majeruhi hata sub hayupoSisi Westham tuna uhakika leo tunaondoka na point hapa.
Antonio atafanya kweli mapema
Kila la kheri Westham 💪💪💪
Hata hivyo bado liverpool tuna wakati mgumu sana kushinda hii game ya leo.Antonio majeruhi hata sub hayupo
Sijawahi kumuelewa Hutu huwa anatembelea nyota ya VVDDah! Gomez katoa Assist moja kali sana
Penalty yetu au yao?Penalty for Liverpool
Penalty yetu au yao?
Afadhali ili wachezaji wetu warudishe moraleYetu