mpiga era
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,078
- 2,269
zinakuja nyingi.Bt Sports na beIN Sports mkuu
zinakuja nyingi.Bt Sports na beIN Sports mkuu
. Cklic moja mkuuzinakuja nyingi
Kona ndani ya sita Kipa anakaa tu.
Mpira wa kichwa huwezi kuokoa.
Kepa hapana kwakweliTuwaazime KEPA ni bora kuliko Adrian
Mmeshaanza kutafuta sababuFive first team players in Arsenal U23s starting XI today: Nelson, Willock, Smith Rowe, Cedric, SalibaView attachment 1603099
Yani tukishambuliwa tu goli,yani kipa hana uwezo binafsi wa kuisaidia timu
Labda huko kwenu sio kwa Liverpool.Everton msimu huu wana jambo lao.
Calm down.Daaahh game hi ishaisha hivoo daaaah