Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hakika sina shaka hata walakini na timu yangu katika msimu huu..

Jambo linalonipa uhuru wa kutamba pia kwenye majukwaa mengine.

Nakukaribisha kesho ushuhudie ninavyozamisha jahazi la mabaharia wa mjini Manchester..
Last EPL game Kati ya Liverpool na asses iliishaje?

Maana mnabwabwaja wakati you will never even finish in top four
 
Yani mkuu, ktk mashabiki wambea ni hao Arsenal8, hawatulii mjengoni kwao, kazi kuzurura tuu majumbani mwa watu.
Arsenal mna game ngumu dhidi ya City, lakini mshabiki wake unapata nguvu ya kuja kuzomea maadui!
Yani hawa kenge wangefungwa leo mbona ningefanya sherehe!!!
GGMU.
 
Usikose kuitazama Mechi ya EVERTON VS LIVERPOOL LIVE kupitia simu yako saa 14:30 bofya link hii kisha Pakua app yetu ni bureDownload application | J FOOTBALL & MOVIE TVS
Ukisha pakua nenda folder la Mechi LIVE
images%20-%202020-10-17T090950.160_1602915016143.jpg
 
Kamata Hawa majogoo chinja kabisa !!!!
Watoto wa goodson park watawanyoosha ,,,, save hii comment !!!

Utabiri !! Mtafungwa zaidi ya goli 2 !

Thiago na matip wataumia

Mr Ancelot hataki utani ,,,,, !!!!!
 
Furaha pekee niliyonayo leo ni Klopp kusikia Kilio chetu kuhusu Gomez.
Natamani nisimuone tena uwanjani kwa Msimu huu.

Kwenye 7 Adrian ana makosa yake lakini na Gomez anahusika kwa Asilimia 50%.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom