Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

"Kesho mnakufa tena!" alisikika shabiki mmoja maandazi.

Bisha kama unajiamini[emoji16]
 
Arsenal mna game ngumu dhidi ya City, lakini mshabiki wake unapata nguvu ya kuja kuzomea maadui!
Hakika sina shaka hata walakini na timu yangu katika msimu huu..

Jambo linalonipa uhuru wa kutamba pia kwenye majukwaa mengine.

Nakukaribisha kesho ushuhudie ninavyozamisha jahazi la mabaharia wa mjini Manchester..
 
Kipaji cha kuongea mnacho, ila cha uwanjani ni tia maji.

Arsenal hana ubavu wa kumfunga City kwenye ligi. Hata kama City akiingiza under 23.
 
Adjustments.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom