Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Yaani hatakaa asamehewe huyo..Owen hajasamehewa Kwa kwenda Man U
Mchezaji kwenda Manchester United ama Everton ndio bye bye kwa majogoo ...
YNWA
Yaani hatakaa asamehewe huyo..Owen hajasamehewa Kwa kwenda Man U
Wenzake kina Torres au Coutinho waligoma kabisa kuja kuichezea Man u ,hata Luis SuarezYaani hatakaa asamehewe huyo..
Mchezaji kwenda Manchester United ama Everton ndio bye bye kwa majogoo ...
YNWA
Awe legend huko huko sie tunao wa kutosha 😂😂😂mpaka akina Sakho, Lambert, Jerry Spering, Enrique, Super Mario nk...Wenzake kina Torres au Coutinho waligoma kabisa kuja kuichezea Man u ,hata Luis Suarez
Awe legend huko huko sie tunao wa kutosha 😂😂😂mpaka akina Sakho, Lambert, Jerry Spering, Enrique, Super Mario nk...
YNWA
Manchester United Mkuu huku kwetu hahitajiki...Hivi Owen anatambulika kama Legend wa timu gani?
Kuna member atakuja kukuambia Henderson hafai kwakua hatoi assisst. Labda leo aone aibu kubishaHapa Sasa ndio umuhimu wa Heddo unapohitajika. Kuna kitu sisi washabiki hatukioni kwa le captain,. Inajua captain Mara nyingi huwa anacontrol Ile tempo ya game, Haswa kwa zile back n wide passes zake. Amini tu mkuu angekuwepo Heddo tusingepigwa 7.
Ngoja waje na mihasira yao, ila umetema fact tupuHapa Sasa ndio umuhimu wa Heddo unapohitajika. Kuna kitu sisi washabiki hatukioni kwa le captain,. Inajua captain Mara nyingi huwa anacontrol Ile tempo ya game, Haswa kwa zile back n wide passes zake. Amini tu mkuu angekuwepo Heddo tusingepigwa 7.
Malcom Grazer na Werner leo wamepigwa chini na Project Big Picture.. Tupa hukoooo...Naona Serikali ya Uingereza inawazuia , kwenye hii project yao ya Big Picture
UCL tulicheza vs ATM on target alipigiwa shots 3 na zote zikawa goals, kwa kwel Adrian ni bonge la golikipa hastahili lawama kabisa, Kwanzaa alitupa UCL super cup18 shoots Vs Villa...... tuendelee kumlaumu Adrian mkuu!
sawa!UCL tulicheza vs ATM on target alipigiwa shots 3 na zote zikawa goals, kwa kwel Adrian ni bonge la golikipa hastahili lawama kabisa, Kwanzaa alitupa UCL super cup
Jumamos kilio kitakacho kuwa humu ni zaidi ya msibaDah yaani Aston Villa walitunyung'unya vibaya sana. Sasa hasira zote tutamalizia kwa Everton








Timu B, imebalance kila idara.hapa utachagua A or B???........View attachment 1598087
Aise mpira hauko hivyo. Msimu uliopita tulifungwa 3- 0 na Watford lakini unajua mwishoni bingwa alikuwa naniJumamos kilio kitakacho kuwa humu ni zaidi ya msiba
Yaan Aston Villa anawanyonyoa hadharani gori saba
Unafikiki everton atawafanya nn Kama sio kuchinja kabisa![]()