Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

DullyJr na Aaron Arsenal nawaonea wivu aisee mmepata jembe haswa..

Thomas pale mmemaliza kile ambacho Wenger kilichomshinda..

Mmepata natural box to box MF na kwa bei chee kabisa £50m lol yaani Mikel naanza kumwelewa aisee misimu mitatu ijayo kwa kasi hii atakua levo zingine..

Mmemwachia El choro kilio anadai board imemuangusha kumtoa Partey kuja kwenu...

YNWA
Miaka matatu inajayo tena ndio watakuwa na hali mbaya zaidi kwa sababu ,Muokozi wao au Mwenye timu AUBAMEYANG Atakuwa na miaka 34 na atakuwa ameshajiondokea zake kwenda China.
 
Miaka matatu inajayo tena ndio watakuwa na hali mbaya zaidi kwa sababu ,Muokozi wao au Mwenye timu AUBAMEYANG Atakuwa na miaka 34 na atakuwa ameshajiondokea zake kwenda China.
Usajili jamaa wa Mikel ni strategic ndugu..

Kwanza warudi top four aafu ndio sasa wavutie hao watia nyavu wa ukweli..

Auba, Willian ni daraja tu kuwavusha wanapokwenda..

YNWA
 
Mimi ni Liverpool PEP [emoji23][emoji23]

Halisi ni wewe na DullyJr munaotaka ushindi kupitia kumuomba Mungu na kushikamana JF wakati Game inachezwa England [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa naona tatizo ni nyota tu,
Umemkosoa VVD na kuomba msamaha kwa walě wanaomwamini...

Ila umemkanyagia mbayą Adrian na Hendo bila kutujali sisi tunaowakubali hao watu... [emoji23]
 
Adrian ana tatizo la ku loose confidence na opponents washaligundua hilo, anapokuwa golini inawapa jeuri kwamba kila wakipata nafasi hata kama so ya kiivyo wana shoot wakijua kuna pazia golini. The only solution na msaada ni beki kumpa cover ya uhakika.

Game yetu na Atletico Uefa Adriana alipigiwa on target 6 tatu zika zaa magoli, game ya Aston villa on target 12 saba magoli tho baadhi zilikuwa deflection, but uwepo wake unasababisha wapinzani ku shoot tu and many of their shootings are converted to goals.

Firmino kashachoka, the guy has now lost creativity, kifupi ni mediocre including gomez.

Kuna kuadhibiwa kwa kufanya makosa but goli saba ni humiliation asiee 😀😀.
 
Msimu iliopita katika mechi 38 za ligi za Liverpool nilikosa kuangalia mechi 3 tu na matumaini yangu ilikuwa kuwa mabingwa,naona jitihada zangu hazikwenda bure tulinyanyua kwapa.

Ila msimu huu mehi ya Liverpool ikinikuta kwenye position ndio nitaangalia nasidhani kama zitazidi mechi 10.

kama ilivyo kuwa klop ndio chanzo cha mafanikio yetu in recent days,ni ukweli pia ndio chanzo cha matatizo yetu kwa sasa! Kutoka a na kiburi chake!.kitu ambacho anashindwa kukifahamu ni kuwa kwenye EPL ni ngumu kuwa juu siku zote maana unashindana na makocha wengine pia ambao kila siku nao wanatafuta mbinu za kukushinda ni lazima asikilize maoni,ushauri na mawazo ya watu wengine angalau a maintain..
 
Sisi kama waombolezaji tunaendelea kutoa pole kutokana na mafuriko yaliyowakumba hapo jana katika kijiji cha Villa Park, kwa kweli ni mafuriko yaliyoacha historia ambayo hauyosahaulika na tunamshukuru Mungu ninyi majeruhi munaendelea poa. [emoji41][emoji41][emoji41]

Tunaendelea kutoa tahadhari ..kwa maana mulijiamini sana na kujipa uwakika wa kuvuka mto Villa, ilihali mvua ilikuwa kubwa tena ya upepo mkali..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nipo hapa natoa somo kuhusu kujikinga na Janga hili la mafuriko hususani kipindi cha mvua kali🤪🤪🤪
 
Hapa naona tatizo ni nyota tu,
Umemkosoa VVD na kuomba msamaha kwa walě wanaomwamini...

Ila umemkanyagia mbayą Adrian na Hendo bila kutujali sisi tunaowakubali hao watu... [emoji23]
Yani mkubali Adrian lakini siku ya game na nyinyi hatumueki golini 😂😂😂
Unataka muje mutupige 10? 😂😂😂

Sahau kuhusu hii takataka 🚮🚮🚮
 
Ila kweli aisee , Wewe Adrian ukipiga imo

Refer UCL v/s Atletico , jamaa walibanwa sana ,ila walipopiga tu wakapata magoli


Yani huyu tukiwaekea Golini kwetu Nina uhakika
Lacazette Hat-trik
Auba Hat-trik
Leno Hat-trik kwasababu Leno Goalkick hatomuanzia yeyote bali ataipiga moja kwa moja mpaka golini kwetu na itaingia kiulaini 😂😂

Siku hiyo ni 10 tu hakuna namna 😂

Umeona wapi On target za Villa 6 za mwanzo zote kuingia golini? 😂😂

Eti mabingwa wa Ligi Kuu wameokota Kipa aliyeachwa na Westham na akawa Mtaani bila ya Timu 😂😂

Adrian ni takataka 🚮🚮🚮🚮
 
Mashabiki wa liver mnatakiwa kukubali kuwa timu yenu yote ilicheza vibaya,

Kumtupia lawama Adrian sio freshi wala nini,Tukiachana na goli la kwanza,Magoli mengine yote aliofungwa 'ali deserve' kufungwa,we unamlaumu vipi kipa kufungwa magoli yaliyotokana na 'deflection'!!.
 
Ricardo momo anasema Bora Karius kuliko Adrian

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom