Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Unamuonea bule huyo kipa benchi lako ndo shida ilipo
Sasa yule Degea analipwa zaidi ya Alson 6 kafungwaje?
Mbona nimeshakubali kama ni Bonge la Kipa! Au hujaona?
Unamuonea bule huyo kipa benchi lako ndo shida ilipo
Sasa yule Degea analipwa zaidi ya Alson 6 kafungwaje?
Naungana na ww mwan liverpool halisi yaan mtu kachoma goli moja wanamwangushia zigo la lawama .......hv zile deflection unazizuiahe kwa mfano .. Haya lile goli la tatu gomez anageuzwageuzwa kama mtoto kipa pale anafanyajeLiverpool HALISI tusimponde Adrian sababu bao 7 kafungisha 1 tu,hizo bao 6 zilifungishwa na nani?
Beki yetu ya kati ina matatizo sana kwa sasa ya kukaba kwa macho lkn Klopp atarekebisha hii
Hahaaha Hendo the super bam...Ni ujinga tu!
Tumemfunga Chelsea bila Hendo hakuna aliyesema Kitu.
Tumemfunga Arsenal bila ya Hendo hakuna aliyesema Kitu.
Tuliwahi kupigwa 6 na Stoke City tukiwa na Hendo hakuna aliyesema Kitu.
Tuliwahi kupigwa 5 na Mancity tukiwa na Hendo hakuna aliyesema Kitu.
Tulipigwa 4 na Spurs tukiwa na Hendo hakuna aliyesema Kitu.
Tulipigwa 4 na Man City tukiwa na Hendo hakuna aliyesema Kitu.
Lakini wanachagua mechi na kuleta visababu vya kijinga.
Hili Timu Mibeki na Adrian ni Mibovu! Nimemaliza.
Hahahaha never man ndivyo alivyo lol...Aache ujuaji over
Hua nikipata muda natazama mechi za timu zote EPL ili kupata picha halisi ya levo ya ushindani tutakavyokutana nazo na ukweli ni kwamba msimu huu ndugu yangu ligi ni ngumu balaa...Klopp ni genius ila inabidi ajue wale nao ni makocha na wanafikiria
Aaache arrogance za kitoto
Pamoja mkuu,Liverpool HALISI tusimponde Adrian sababu bao 7 kafungisha 1 tu,hizo bao 6 zilifungishwa na nani?
Beki yetu ya kati ina matatizo sana kwa sasa ya kukaba kwa macho lkn Klopp atarekebisha hii
Lakini tuseme ukweli VVD amekuwa ball watching sikuhizi (Najua hapa Watu watakereka lakini Naomba Samahani).
Pamoja mkuu,
VVD has to step up.. since game ya kwanza mpaka sasa hajaprove ubora wake kabisaWatu wamekuwa Vipofu sana!
Timu imekuwa na madhaifu mengi sana ya kufanyia kazi lakini watu wanjitekenya kwa visingizio vya kutokuepo Hendo ili kuficha madhaifu ya Timu.
Nakumbuka tulifungwa na Real Madrid kwenye mechi ya Finali ya CL huku mbele yake kukiwa na Beki Lovren na Midfield kukiwa na Lallana lakini walifika kumwita Karius ni Mvuta Bange.
Leohii Golini tuna Worst Keeper ever kuwahi kuichezea Liverpool lakini amepata Watetezi utadhani yeye ni Ter Stegen na kukimbizia visingizio kuwa eti tumefungwa kwasababu Hendo hakucheza!!
Mbona tumemfunga Chelsea Darajani bila ya Hendo?? Mbona tuna Points 9 bila ya Hendo?
Tuwache visingizio udhaifu wa Timu yetu umeanza kuonekana tokea msimu uliopita baada ya Corona.
Kwenye mechi vs Leeds na Arsenal ni wazi tumeshinda kwa Jitihada binafsi za Alisson.
Lakini kwenye Defence yetu tumeruhusu mipira mengi sana ambayo imevuja.
TAA ni same amebaki kwenye Consistency yake ileile kila Mtu anamjua kuwa si mzuri kwenye kudefend that's why anatumika kama creator.
Robbo yupo Vizuri.
Lakini tuseme ukweli VVD amekuwa ball watching sikuhizi (Najua hapa Watu watakereka lakini Naomba Samahani).
Gomez kwasasa ni Lovren kijana tu aliyezaliwa Uengereza.
Kuhusu Adrian nisiwe mnafiki wacha Watu waniambie namchukia lakini huyu ni takataka tu 🚮🚮🚮
Hivyo Watu waendelee kujitia upofu na kusingizia Hendo, sijui Mane lakini tukubali tu tuna tatizo kubwa la Timu kuliko tunavyofikiria.
Na Aceloti anavyocheka muda huu huwezi kuamini.
VVD toka aonekane kwenye ile tuzo akashika namba 2 kuna namna kama imeathiri performance yake au ni coincidence tu.
Toka mwanzo, VVD hajawahi kuwa mzuri mipira ya chini, makosa yake yalikuwa yanakuwa covered na ubora wa Matip na Gomez kipindi wako moto.
Sasa kama wanaompa cover wamekuwa uchochoro, very likely na yeye tutauona uchochoro wake.
Tuliwahi kuzungumzia jinsi VVD anavyorudisha sana mipira kwa kipa, yeye kama kiongozi kwenye safu ya ulinzi, wenzake nao wameshaiga hii kitu. Na kati ya magoli 4 tunayofungwa, kuna moja linatokana na kurudisha mpira kwa kipa.
Anyway, sisi HALISI hatutakiwi kuwasema wachezaji wetu, wewe Liverpool Maslahi tunakujua, huipendi timu. Una maslahi yako.
Mimi ni Liverpool PEP 😂😂
Halisi ni wewe na DullyJr munaotaka ushindi kupitia kumuomba Mungu na kushikamana JF wakati Game inachezwa England 😂😂😂
Mimi nilishasemaga hivi Ukimuona Bobby ameanza kwenye kikosi cha wachezaji 11 Mimi huwa nahesabu tupo 10 uwanjani.Hahaha! Noma sana.
Sasa hivi timu yetu imekuwa ni hospitali ya rufaa.
Ila mimi sasa hivi naona bora Henderson kuliko Bobby, atakayenisaidia kumweka Bobby benchi atakuwa amefanya jambo la maana.
Muda wa wiki mbili kuishangilia, wiki moja kuugulia umerudi.
Kabla ya ile mechi ya Villa nilimjibu ndugu yangu mvamizi Ollachuga Oc tunakutana na rejuvenated Villa ambao baada ya mpira kurejea upya baada ya corona wamerudi na jambo wapo tofauti kabisa na kabla ya mapumziko ya corona hivyo japo sikutarajia tupigwe 7 nilitarajia a full cracker na pengine tupate angalau ushindi wa 2 ama 3...Watu wamekuwa Vipofu sana!
Timu imekuwa na madhaifu mengi sana ya kufanyia kazi lakini watu wanjitekenya kwa visingizio vya kutokuepo Hendo ili kuficha madhaifu ya Timu.
Nakumbuka tulifungwa na Real Madrid kwenye mechi ya Finali ya CL huku mbele yake kukiwa na Beki Lovren na Midfield kukiwa na Lallana lakini walifika kumwita Karius ni Mvuta Bange.
Leohii Golini tuna Worst Keeper ever kuwahi kuichezea Liverpool lakini amepata Watetezi utadhani yeye ni Ter Stegen na kukimbizia visingizio kuwa eti tumefungwa kwasababu Hendo hakucheza!!
Mbona tumemfunga Chelsea Darajani bila ya Hendo?? Mbona tuna Points 9 bila ya Hendo?
Tuwache visingizio udhaifu wa Timu yetu umeanza kuonekana tokea msimu uliopita baada ya Corona.
Kwenye mechi vs Leeds na Arsenal ni wazi tumeshinda kwa Jitihada binafsi za Alisson.
Lakini kwenye Defence yetu tumeruhusu mipira mengi sana ambayo imevuja.
TAA ni same amebaki kwenye Consistency yake ileile kila Mtu anamjua kuwa si mzuri kwenye kudefend that's why anatumika kama creator.
Robbo yupo Vizuri.
Lakini tuseme ukweli VVD amekuwa ball watching sikuhizi (Najua hapa Watu watakereka lakini Naomba Samahani).
Gomez kwasasa ni Lovren kijana tu aliyezaliwa Uengereza.
Kuhusu Adrian nisiwe mnafiki wacha Watu waniambie namchukia lakini huyu ni takataka tu 🚮🚮🚮
Hivyo Watu waendelee kujitia upofu na kusingizia Hendo, sijui Mane lakini tukubali tu tuna tatizo kubwa la Timu kuliko tunavyofikiria.
Na Aceloti anavyocheka muda huu huwezi kuamini.
Hahaha Firmino from being the super hero now he is the villain...They call him Firmino the system player
He's got no pace, no pull
Ameshaanza kuchoka lets accept this fact