Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,855
YesNa wanaoendelea kumpanga ni wapumbavu.
Wajinga
Sio zama za ku believe in miracle hizi
YesNa wanaoendelea kumpanga ni wapumbavu.
Hapana aisee labda humjui vzr Adrian ,jamaa ni pazia sanaMashabiki wa liver mnatakiwa kukubali kuwa timu yenu yote ilicheza vibaya,
Kumtupia lawama Adrian sio freshi wala nini,Tukiachana na goli la kwanza,Magoli mengine yote aliofungwa 'ali deserve' kufungwa,we unamlaumu vipi kipa kufungwa magoli yaliyotokana na 'deflection'!!.
Yes
Wajinga
Sio zama za ku believe in miracle hizi
Liverpool maslahiHaya mkuu, sisi Liverpool HALISI hatutukani wachezaji, huu muda tunashukuru kwa chochote.







Haya mkuu, sisi Liverpool HALISI hatutukani wachezaji, huu muda tunashukuru kwa chochote.
Liverpool maslahi
Liverpool pep![]()
Inatokeaga ,ukizingatia Klopp anakabia Kwenye high line , halafu kipa kumbe Adrian , Siku ile zingefika hata 10 ,Mpaka sasa sijaelewa zile 7 tumefungwaje fungwaje aisee.
Sasa hivi tuna heshima mtaani balaa, kama siyo mabingwa watetezi vile.
Inatokeaga ,ukizingatia Klopp anakabia Kwenye high line , halafu kipa kumbe Adrian , Siku ile zingefika hata 10 ,
A goalkeeper must have instincts ambazo adrian hana kabisa zinakuja zinaondoka wewe si shabiki wa liva na Nina uhakika hata mechi zetu unazoangalia ni big match maybe sasa sisi wenzako hadi mazoezi tunaangaliaMashabiki wa liver mnatakiwa kukubali kuwa timu yenu yote ilicheza vibaya,
Kumtupia lawama Adrian sio freshi wala nini,Tukiachana na goli la kwanza,Magoli mengine yote aliofungwa 'ali deserve' kufungwa,we unamlaumu vipi kipa kufungwa magoli yaliyotokana na 'deflection'!!.
Hao wanaosema Liverpool halisi ni niniHaya mkuu, sisi Liverpool HALISI hatutukani wachezaji, huu muda tunashukuru kwa chochote.

Hao wanaosema Liverpool halisi ni nini
Nao wajinga tu mkuu niwachane leo![]()
VipumbavuWanakusoma humu, subiri kauli yao ya kushikamana.
Wale wajinga walifanya kama tuna ugomvi wa muda mrefu.
Bora wangeshuka daraja tu msimu ulioisha, lawama zote kwenu mliwaachia dakika za mwishoni.






Msingefungwa goli zote zile aiseee
Mashabiki wa liver mnatakiwa kukubali kuwa timu yenu yote ilicheza vibaya,
Kumtupia lawama Adrian sio freshi wala nini,Tukiachana na goli la kwanza,Magoli mengine yote aliofungwa 'ali deserve' kufungwa,we unamlaumu vipi kipa kufungwa magoli yaliyotokana na 'deflection'!!.
Labda kama hujaangalia ile mechi, jamaa alichoma goli moja tu kati yaHapana aisee labda humjui vzr Adrian ,jamaa ni pazia sana
Ujue hata UCL ,Liverpool hakutakiwa kutolewa na Atletico ,

waliyobugizwa, na aliclear one v one moja pia, hayo mengine ni makosa ya timu nzima,,,,,
Niliangalia vzr , zile deflection Hata moja hakuokota ....Labda kama hujaangalia ile mechi, jamaa alichoma goli moja tu kati yawaliyobugizwa, na aliclear one v one moja pia, hayo mengine ni makosa ya timu nzima,,,,,
Ninachokiona hapa ni tatzo la nyota tu
Hata kipa angekuwa nani wasingeepuka hiki kikombeInatokeaga ,ukizingatia Klopp anakabia Kwenye high line , halafu kipa kumbe Adrian , Siku ile zingefika hata 10 ,