






Unajua Fergie bhana hakua bingwa bingwa bingwa bingwa mpaka basi kwa kubahatisha, alipandisha wachezaji na kusajili kwa mahebabu makali sana ili kuhakikisha makali ya timu kuchukua EPL yapo pale pale...Liverpool baada ya kazi ngumu ya miaka 3 ya kutafuta Ubingwa wa Premier walipaswa kuongeza wachezaji kati ya wa 5 mpaka 6 ili kuongeza nguvu.
Na kati yao tulipaswa kumpata beki wa kati mwenye nguvu na akili mfano wa Kalidou Koulibaly wa Napoli ili kuimarisha safu ya ulinzi iliyoyetereka.
Mkuu huyu drunken master hapangiwi haha..Naona inzi wamepungua jukwaa hili,,....ile harufu mbaya ya jana nayo pia imepungua karibu kuisha...
😁 😁😁...
Ila Klopp ana kiburi aisee, hivi kweli yule Adrian ndo anaendelea kukomaa nae tu?...
Kwamba haoni mapungufu yake....
Kwa kawaida timu ikitoka kutwaa taji ni lazima ujazie nyama.Unajua Fergie bhana hakua bingwa bingwa bingwa bingwa mpaka basi kwa kubahatisha, alipandisha wachezaji na kusajili kwa mahebabu makali sana ili kuhakikisha makali ya timu kuchukua EPL yapo pale pale...
Hili la kusajili kwa hesabu angalau Edwards amefanikiwa mno tangu Klopp atue Liverpool ishu kuu nayaiona mie ni pale tunaaminishwa lazima tuuze ili tununue na eti Corona imetuacha weupee pee..
Gomez kiwango chake hakijaanza kuporomoka jana ina maana dirisha hili kulikua na muda wa kutosha kusajili beki wa kati, namba 9 wa ukweli, namba 10 wa ukweeee...
Muda utasema wape tunaelekea....
Kuna mechi dhidi ya Everton
Kuna mechi dhidi ya Citizens
Kuna mechi dhidi ya Atlanta.
Yaani hapo tukatazame mpira na maji ya baridi mkononi
YNWA
Hapa tunatakiwa kusajili kipa haraka sana, nawahakikishieni endapo tutaenda Goodson park na Adrian kitakachotupata mtu asiniulize
Mabeki sio wa hovyo klop ndio wa hovyo,mabeki wetu Robertson & Alexander kwenye kikosi ndio wanaotegemewa kupeleka mashambulizi mbele at the same time wanatakiwa wakabe huwezi ukawa bora sehemu zote.Hivi goli kama hili ni la kumlaumu adrian????
Mnabeki za hovyo tu
Huyu angekuwepo ndio tungepigwa 10 kabisa.
Klopp ni genius ila inabidi ajue wale nao ni makocha na wanafikiriaMkuu higline ina maanisha mido wetu wakati tunashambulia wanacheza kama Wing back ina maana kwa vile Trent na Robbo wanakua up the field kusaidia mashambulizi basi kukaba wanasaidiwa na Keita juu na Gini huku chini na kati anakua mzee mzima Fabby ndio maana utaona assist kwa mido wetu hwanaga kabisa maana wao muda mwingi ni wa win mpira wawarudishie Robbo na Trent..
Sasa endapo tutashambuliwa mazima utaona Anodi akikimbia kurudi nyuma kumsaidia Gomez na Robbo kumsaidia VVD sasa kama tutapigwa kaunta attack ni dhahiri silaha yetu inakua kucheza offside trick ambayo wakati mwingine inagoma case study vs Gunners iligoma twice na Allison akatuokoa.. Jana pia iligoma na tukapigwa..
Kwa huu mfumo wa kutumia dynamic Lb na Rb basi wao kazi yao kuu ni kutengeneza scoring opportunities na kazi hii tazama assist zao msimu uliopita vs stat zao za defensive duty utaona wapi wana perform zaidi....
Ombi langu kwa Klopp na mpaka sasa bado kabisa limeshidikana ni kua na mifumo tofauti sio kila kukicha 4 3 3 na sio kila gemu ni ushindi zingine kuisaka hata droo ilimradi tupate hio pointi 1 ni muhimu sana.. Kama jana wakiwa wanaongoza 3 basi pale pale alitakiwa afanye system change hata 3 5 2 kwenda nao sawa pale kati ambapo Mcginn na Douglas walitawala kwa long pass za kutisha...
Hii ni wake up call..
Klopp ajue hii ni EPL wapinzani wanafanya analysis za nguvu namna ya kupata poiniti 3 hivyo akumbali kua na mifumo mbadala wa 4 3 3 panapobidi..
YNWA
Aache ujuaji overHahaha wapo busy kuuza Shaqir, Wilson, Grujic hayo ya jana wala wanaona ni zile having a bad day in the office Hahaha...
Klopp hapangiwi tazama baada ya kuambiwa na master Keane defence yetu ilikua sloppy vs Gunners alivyokuja juu ila sasa jana anakumbali ooh Keane alisema sloppy mbali jana we were bad.. Klopp hua anafanya kinyume kabisa cha hao ma pundits.. Walimwambia enzi za akina Sakho nk bila ukuta madhubuti hashindi chochote UK yeye akawa anakomaa na Karius wake mpaka pale aibu ya fainali vs Madrid yaliyotukuta basi ndio chap chap akaja Allison na tukashinda makombe ya nguvu sana..
Sasa wanamwambia highline inatufanya kua dhaifu tukipigwa kaunta yeye anakomaa nayo hivyo hivyo kwa vile tu hapendi kuambiwa wala kupangiwa..
Nevile na Keane kwa pamoja wameshinda EPL za kutosha na ukiona wanasema hili ni kikwazo kwa Liverpool basi ujue ni kikwazo kweli kweli.. Na haya jana wamesha ya document vya kutosha kwa kifupi we have been sitting on a time bomb na jana was the D day... Klopp ana wiki 2 za kutafakali winning formula kulingana na kikosi alichonacho..
YNWA
Subiri wenye Liverpool yao watakuja kukuambia, hakuna kipa anayeweza kukubali kuja kuwa backup ya Alison, so tukomae tu na Adrian!Hapa tunatakiwa kusajili kipa haraka sana, nawahakikishieni endapo tutaenda Goodson park na Adrian kitakachotupata mtu asiniulize