Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mwnye connection jmn nion liver akipigwa miti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tangazo Tangazo
Bei ya majogoo imeporomoka katika masoko ya ndani Jogoo mmoja kwa sasa anauzwa 6000 ukilinganisha na mwaka Jana ilkuwa 18000....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi ni mimi tu nmeona kama Gomezi nae amesaidiana na kipa kutuchomesha.....au?

Gomezi pia ni garasa
 
Ila klopp alikosea Ku mrisk Allison Mechi na Arsenal aliona tungefaidi sana

Matokeo yake Allison nje wiki 4-6

Klopp: "Alisson has no chance of playing v Everton. Four weeks is possible, six weeks more likely."
 
Tatizo siyo la kipa, narudia tena kusema kwamba tatizo ni la timu.

Timu inayogombea makombe kipa wake namba 2 hawezi kuwa kipa aliyeachwa na Westham.
Bora umesema kaka
Hivi tulikwama wapi kumchukua yule Martinez aliekuwa arsenal mpka Aston villa wamemchukua?
 
Mane angekuwepo tungejitahidi ht tufungwe 5

Mkuu tatizo adrian uwezo udogo haiwezekani kila wakilenga goli unashindwa kudaka unabaki unaangalia mpira unaingia golini.

Allison anatakiwa awepo golini hapo,hata Aston Villa wasingekuwa wana piga mashuti hivyo maana wanajua golini yupo nani.

Huyo adriani wanajua kabisa hakuna golikipa hapo ni mwendo wa kulenga goli tu kitu imo.
 
Siwezi kumlaumu sana kipa matokeo ya leo, kumbuka kafungwa magoli kama matatu ambayo ni deflection za van dijk, gomez, fabinho.

Ni kweli kwamba kipa ana mchango wake kwenye kupoteza leo lakini matatizo mengine yalikuwa mengi zaidi.
 
Walisifia sna usijili bei chee umefanya makubwa sasa tena mkuu daaa
Sometime inabidi ufungue pochi tupate wachezaji kweli.
Matajiri wetu wabahili sasa wanategemea wachezaji wa bure bure
 
Sometime inabidi ufungue pochi tupate wachezaji kweli.
Matajiri wetu wabahili sasa wanategemea wachezaji wa bure bure

Mkuu sokoni kugumu sana bei kali hakuna uhusiano na uwanjani wachezaj walionunuliwa kwa bei halisi ni suarez na christiano ronaldo lakin hizi sajili zingine ni kamali tu nazungumzia toka 2009 had sasa kwa hiyo unaweza kusema wabahili lakin sivyo hata makocha wanahangaika sana angalia wakina dembele,maguire,coutinho,morata ,shaw,bissaka ni wengi sana soko limeharibika huwez kupata mchezaj halisi kwa bei inayofanana nae fikiria pesa wanayotaka dortmund kwa sancho mtu ambae hajashinda chochote hana uwezo wa kuibeba timu kama hao wawili

Binafsi usajili ulioendana na pesa na vitu walivyokuwa navyo kwangu ni suarez kwenda barcelona na ronaldo kwenda madrid huyu Robert Lewandowski alienda bure buyern munich sijamzungumzia ila ni top striker toka akiwa dortmund.
 
Kwa raha gani mlizonazo hadi mnalala na kukoroma hivi? [emoji2772][emoji3577]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…