Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Marehemu anazikwa hapa hapa, tukisafirisha tutapata hasara mara mbili
 
Hii ndio hali halisi ya timu yetu kwa sasa,hata mechi tulizoshinda nilishawahi sema hapa, tumeshinda kibahati na wala si kutokana na uimara wa timu.Tuendelee kujifariji tu ila msimu huu hatuna chetu.

Mkuu leo Aston Villa walituzidi wapi?

Tungekuwa hatujapata hata goli sawa ningesema tulizidiwa sana.

Sasa walichokuwa wanafanya ni kulenga goli tu,kipa anabali anauanhaliA tu mpira magoli manne yameingia kipa anabaki anaangalia tu kwa macho mpira unaingia.
 
Hii looserfool hata kwa Namungo inapigwa tu vizuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
halafu Liver pelekeni mashitaka FWIFWA... hawa sio AstonVilla mmepewa Bayern Munich bila kujijua[emoji23]
 
Leo mtambebesha lawama sana Goli kipa, lakini amini nakuambia hata kama angekuwepo Allison kipigo kingekuwa palepale. Timu inakosa ubunifu brother, tunacheza mpira wa taratibu Sana pasi zisizo na malengo, Wapambanaji wa timu wamebaki wawili tu Mane na Salah, wachezaji kama Wijnaldum na Firmino wapo uwanjani kujaza nafasi tu.Kwa namna hiyo tegemea kila mechi kwetu itakuwa ngumu.
 
3 games with Alison , three wins with Alusson.

1 game with Adrian, tumebugizwa migoli 7

Mkuu andrian anatakiwa aondolewe haraka sana tusajiri golia mwingine bila hivyo huu msimu tutawashangaza wengi Maana muda wote mpira tunao sisi lakini ubao unasoma tumefungwa 7.

Mkuu hilo liko wazi kabisa andrian nikioja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…