Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wacheni ngonjera zenu hapa... Wakati mnatuachia ubingwa wa Community shield huyo FABBY hakuwepo??????..... WE ARE UNSTOPPABLE....
Hii arsenal ni "GUSA UNASE"

#COYG
#COYG
#ARSENAL MABINGWA EPL 2020/2021

Mkuu Mechi na Liverpool pale anfield,ndio itakuwa kipimo chenu,maana mapungufu yenu yataoneka tu.

Liverpool sio timu ya kumtegemea mtu mmoja,kama Arsenal star ni mmoja tu.

Arteta akipata draw itatoa picha ya ubora wake,anfield kugumu sana,msimu ulioisha burnley pekee yake ndio alijitahidi akapata draw wengine wote vipigo.

Mashabiki wa Arsenal msijisahau kwa mechi mlizopata ushindi hizo,anfield mkapata Aibu, kama mnavyopataga miaka yote.
 
Nishasema na narudia tena. NIKIFUNGWA ANFIELD SIKATIZI JUKWAA HILI MPAKA MSIMU UJAO 2021/2022..... haiwezekani nifungwe na timu iliyojichokea kama Liverpool. Liverpool hii juzi imenipa Community shield halafu leo inanitishia nyau????

#COYG. #COYG
#ARSENAL MABINGWA EPL 2020/2021
 
Huyu Van Dijk wenu mtamtukana hapa Jumapili. Nawahakikishia kuwadhalilisha kupo palepale.....
#COYG #COYG
 
Looserfools kutufunga Arsenal sahau hilo! Mtajuwa hamjui! Jumapili nawahakikishia mtakimbia wote humu na lawama zote mtamtupia Keita na Tako Minamino

Ungeliwasona Aaron Arsenal na DullyJr jinsi wanavyokuja kwa nidhamu kwenye huu Uzi linapokuja suala la mechi kati ya Liverpool v/s Arsenal hata usingeropoka hivyo.

Soon utajifunza kuheshimu mechi.
 
Nishasema na narudia tena. NIKIFUNGWA ANFIELD SIKATIZI JUKWAA HILI MPAKA MSIMU UJAO 2021/2022..... haiwezekani nifungwe na timu iliyojichokea kama Liverpool. Liverpool hii juzi imenipa Community shield halafu leo inanitishia nyau????

#COYG. #COYG
#ARSENAL MABINGWA EPL 2020/2021
Naona unatembelea njia za Ollachuga Oc mwenzako alianza na ngebe mwisho akaja na ahadi Kama yako. Utapigwa kipigo cha mbwa koko
 
Hizi kelele zote nazimaliza Jumapili. Baada ya Jumapili jukwaa hili litakua mali yetu ARSENAL, THE GUNNERS. mnashindwa kuwafunga timu dhaifu kama Chelsea wakiwa kamili mnategemea mtatuweza sisi??? Tulichowafanya juzi kati tuta double . AUBAMEYANG ! AUBAMEYANG!
FT: Looser fools 1-3 ARSENAL
Kijana ushatafuta umaarufu kwenye jukwaa La chelsix inatosha . Ila humu umeingia zone ya mabingwa huku hatubishani maneno huku ni vitendo tu .

KARIBU ANFIELD
YNWA
 
Mkuu Mechi na Liverpool pale anfield,ndio itakuwa kipimo chenu,maana mapungufu yenu yataoneka tu.

Liverpool sio timu ya kumtegemea mtu mmoja,kama Arsenal star ni mmoja tu.

Arteta akipata draw itatoa picha ya ubora wake,anfield kugumu sana,msimu ulioisha burnley pekee yake ndio alijitahidi akapata draw wengine wote vipigo.

Mashabiki wa Arsenal msijisahau kwa mechi mlizopata ushindi hizo,anfield mkapata Aibu, kama mnavyopataga miaka yote.
Kwamba arsenal ndo itakua timu ya kwanza kumfunga Liverpool anfield

Arsenal hii na liver hii yenye fabinho as new Cb maana ni kama tumesajili CB mpya
 
Anakaribia kusepa
Screenshot_20200921-212922.jpg
 
Nakuhakikishia Jumapili mtakimbia hili jukwaa.. majogoo tunawanyonyoa kwa maji ya baridi....... Huu uzi mtauona kituo cha polisi. Mtakimbia kama wenzenu Blauzi FC wametutelekezea jukwaa lao kule na sisi bila hiyana tumelipokea jukwaa na sasa linaitwa "ARSENAL SPECIAL THREAD 2" tunataka jumapili na hili pia liwe jukwaa letu namba3

#COYG #COYG #COYG
Wewe ndie yule anaitwa mshabiki maandazi(sorry for this name) , maana hata Haujui Ratiba za gemu, sasa tutakuamin vipi na porojo zako??? Cheki vizuri hiyo game ya Liverpool vs arsenal ni jumapili???
 
KIPIGO KIKO PALEPALE

#COYG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom