Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,749
- 28,144
Leo nategemea zaidi mashambulizi yawe kote pemben kwa kna TAA na robo pia kama thiago akianza third place yetu itakuwa na makali mengi na tukitawala kati kati zaidi.
Umri wake angalau sio jioni sana bado anatufaaaJames Pearce kashaliweka Sawa
Ox hauzwi
Ziyech ,timo ,kai ,thiago na pancha zingine halafu unategemea utengeneze connection..! itachukua misimu 4 hahahaMkuu huyu Jota ni bench wormer pale Wolves, sijui klopp kaona nini kwake enewei subiri tuone yasije kuwa ya minamino
Pale mimi naona tumepigwa wazi wazi ..hata huyu Thiago ligi itamshinda tu
World class player sura yake inakuwa vipi?Ata sura yake inaonesha ni mchezaj wa kawaida
Na yataingia tu unatagemea zouma ndo azuie? Acha tuoneLeo wanangu wa Liverpool tunataka ushindi mnono
Golini kuna kepa ,tunataka Goli 5 na kuendelea
Mkifika karibu na Goli ,pigeni tu
Miwilii?Mou alishapitwa na wakati, sidhani kama atadumu hata misimu miwili pale
Mkuu, Mourinho amebakia anauzika kwenye Industry ya Football kwa sababu ya CV yake aliyonayo tu sio vinginevyo.Morinho kesha anza timbwili lake huko Alli akipata sapot ya wachezaji 4 tu kitanuka kwake ha ha haaa
Leo wanangu wa Liverpool tunataka ushindi mnono
Golini kuna kepa ,tunataka Goli 5 na kuendelea
Mkifika karibu na Goli ,pigeni tu
.Kepa ni pazia. Leo inabidi Fabinho apige zile Mashine zake kama 3 hivi na yote yatakuwa magoliLeo wanangu wa Liverpool tunataka ushindi mnono
Golini kuna kepa ,tunataka Goli 5 na kuendelea
Mkifika karibu na Goli ,pigeni tu
Sure..Mbona beki zitatoka vumbi mpka kwenye kope ila ox asiuzwe
Tunatakiwa kuboresha eneo letu tunalofanyia pressing kwa mabeki hasa wale cbnaangalia Southampton vs Spurs ipo live sasa hivi.
Southampton wapo 1-4 down ingawa ndiyo wanacheza mpira mkubwa zaidi.
kwa nini wanafungwa? it's the highline defence syndrome.... Spurs wanapiga one ball over the top and the speedy Son does the simplest of jobs (has scored all 4 goals).
enter Timo Werner vs our backline playing the same this evening, I smell a horror movie with possible massacre at the Bridge.
teams have now learnt how to beat a highline defending. I trust Klopp has already realised this and has figured out a strategy.
Uwe na akiba ya maneno chief mechi imeishaje ?Nimepuuza sana Lev kwa kumpa kazi Morinhno
NakupingaMkuu, Mourinho amebakia anauzika kwenye Industry ya Football kwa sababu ya CV yake aliyonayo tu sio vinginevyo.
Yani sitengui kauli mpaka msimu uishe huu huyo jamaa hajui kama mpira ni mchezo wa makosa pia atatukana tuUwe na akiba ya maneno chief mechi imeishaje ?
Utaambia nini watu?
Unakariri tatizoYani sitengui kauli mpaka msimu uishe huu huyo jamaa hajui kama mpira ni mchezo wa makosa pia atatukana tu