msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,788
- 9,127
Chelsea kule wanasema kesho watawachapa 4G.
nadhan bei imekua kubwa hivo kwa sababu ya style ya malipo..........Jota for £45m? [emoji24][emoji24][emoji24]
Tupo pamoja mkuu, [emoji3514][emoji736][emoji106]Wana Liverpool HALISI league imeanza tena,tuwe nyuma ya team bila kujali matokeo
Ni matumaini yangu kuwa sisi wana Liverpool halisi tutazidi shikamana
Leeds kakaa
Sasa kesho ni Chelsea
Mtuache washabiki wa Jota 😂😂😂😂😂😂😂
Usajili huu ni ishara Brewster Blades panamhusu....
YNWA
kweli chief ni vizuri kuulizana kama wote tupo maana hii corona iliyopita du!Kumbe upo bro !
Kampeni za ubunge kule Kyela vipi ?
Nimesoma humu Klopp anamtazama kwa misimu miwili hivyo sio wa kumchukulia powa...Lakini kwa £45M dah!
Hapo sijaona wa kutuzuia kushinda, twende hivi Salah tunamkabizi kwa mkata umeme Zouma, apo atembei, uyo Thiago haoana shaka Kante yupo, Mane kina dogo Christensen atafanya kazi yake vizuri, Bob tunajua kachoka uyo tunamwacha aruke ruke uwanjani ..mbele tayari. Kwa Fabihno app kuna Kovavic mzee wa viatu hakuna shaka hapo. Nyuma kabisa tunajua VVDna Allison nj vitobo ivyo Werner na Giroud wataleta tabu ya kutosha na kusababisha penati za kutosha japo sisi tutapenda kuwapiga goli za uwakika hatutaki mbeleko.
Mkuu, [emoji3514] naõna umepata nguvu,
🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Tunashukuru Mkuu.. Ila ndugu yule fundi Houssem mkimpata mtakua juu mno..Mkuu, [emoji3514] naõna umepata nguvu,
[emoji1787] [emoji1787]
Hongereni sana, kwa kumpata huyu fundi mpiga vibao mpìra, najua tutapata tabu ila na burudani pia tutaipata[emoji23][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
Napênda anavyotema kushoto na kufukia kulia, NYIE.. [emoji119]
Welcome fundi Thiago
Hahaha lol kweli mkaskazini upo makini namna ya kunichapa...Hapo sijaona wa kutuzuia kushinda, twende hivi Salah tunamkabizi kwa mkata umeme Zouma, apo atembei, uyo Thiago haoana shaka Kante yupo, Mane kina dogo Christensen atafanya kazi yake vizuri, Bob tunajua kachoka uyo tunamwacha aruke ruke uwanjani ..mbele tayari. Kwa Fabihno app kuna Kovavic mzee wa viatu hakuna shaka hapo. Nyuma kabisa tunajua VVDna Allison nj vitobo ivyo Werner na Giroud wataleta tabu ya kutosha na kusababisha penati za kutosha japo sisi tutapenda kuwapiga goli za uwakika hatutaki mbeleko.
Mpira utaisha hivi
Chelsea 3 - Liverpool 1 au 2 kama Salah atapata penati.
#CFC💙💙💙
Hapą umejikakamua kweli kuandika hivi[emoji23][emoji23] yaani kama mtu anayekula msosi anaoupenda alafu una pilipili nyingi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hapo sijaona wa kutuzuia kushinda, twende hivi Salah tunamkabizi kwa mkata umeme Zouma, apo atembei, uyo Thiago haoana shaka Kante yupo, Mane kina dogo Christensen atafanya kazi yake vizuri, Bob tunajua kachoka uyo tunamwacha aruke ruke uwanjani ..mbele tayari. Kwa Fabihno app kuna Kovavic mzee wa viatu hakuna shaka hapo. Nyuma kabisa tunajua VVDna Allison nj vitobo ivyo Werner na Giroud wataleta tabu ya kutosha na kusababisha penati za kutosha japo sisi tutapenda kuwapiga goli za uwakika hatutaki mbeleko.
Mpira utaisha hivi
Chelsea 3 - Liverpool 1 au 2 kama Salah atapata penati.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Naona unakafuraha ka ndani ndani leo[emoji1]
You are just a stupid personUmeongea sana kwa moyo mwanzo mwisho, but all i can see ni utumwa wako na ujinga wako kwenye ushabiki, sometimes mapenzi yanaweza kukufanya uwe mtumwa na usijijue kabisa, kama moyo huo ungeuweka katika kutengeneza your career na pia kujitengenezea mashabiki na wateja ungefika mbali, ndo maana naachana na ushabiki sahvi japo najua itanichukua mda wa kujijenga katika njia mpya,
Nachojiuliza kila siku ni kwann binadamu wanakuwa na ushabiki wa kipumbavu kiasi iki uku wakishabikia kijina tu na sio location wala watu walioko kwenye ilo jina, is it because of history????, We make our only history
But siyo cash cash...kwa mafungu haiumizi [emoji23]Lakini kwa £45M dah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiv hizi habar za Thiago na Jota
Nyumbu wanazo???
🤓🤓🤓🤓🤓Mkuu MmangO ujio wa Jota plus Thiago ki ukweli ni furaha swafiii sana..Naona unakafuraha ka ndani ndani leo[emoji1]
Tunapumua Sasa
#YNWA
Wee jamaa umeandika nini?Umeongea sana kwa moyo mwanzo mwisho, but all i can see ni utumwa wako na ujinga wako kwenye ushabiki, sometimes mapenzi yanaweza kukufanya uwe mtumwa na usijijue kabisa, kama moyo huo ungeuweka katika kutengeneza your career na pia kujitengenezea mashabiki na wateja ungefika mbali, ndo maana naachana na ushabiki sahvi japo najua itanichukua mda wa kujijenga katika njia mpya,
Nachojiuliza kila siku ni kwann binadamu wanakuwa na ushabiki wa kipumbavu kiasi iki uku wakishabikia kijina tu na sio location wala watu walioko kwenye ilo jina, is it because of history????, We make our only history
Hahah kweli kabisa hata wakiwepo kesho poa tu[emoji38][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Mkuu MmangO ujio wa Jota plus Thiago ki ukweli ni furaha swafiii sana..
YNWA