Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Mpaka September hii inaisha tutajua mwelekeo ndugu wa usajili...Kuna mambo kocha anatuangusha
YNWA
Mpaka September hii inaisha tutajua mwelekeo ndugu wa usajili...Kuna mambo kocha anatuangusha
Bado unasubiri mwelekeo mkuuMpaka September hii inaisha tutajua mwelekeo ndugu wa usajili...
YNWA
Ukishabikia hii timu unaishi kwa SUPER HOPE wakati wote ndugu yangu hilo linakufanya kua na amani kiasi chake...
Hahaha let's hope & tusubiri dirisha kufungwa tuoneUkishabikia hii timu unaishi kwa SUPER HOPE wakati wote ndugu yangu hilo linakufanya kua na amani kiasi chake...
YNWA
Akili za pundamilia hizi
Ww punga huna jipya ... tumeelewana James deliciousAkili za pundamilia hiziView attachment 1565429
Akili za UVCCM hizi



Subirini miaka 30 tena mtabeba ubingwa![]()
Phil McNulty, a seasoned pundit wa BBC Sport, naye leo katoa prediction yake hii hapa.this is my EPL top 10 prediction for the next season.
View attachment 1561841
try yours here.....
Predict the Premier League table
Huyu jamaa ataacha Liverpoo kwenye hali ambayo aliacha Dortmund, ingawa sababu ni tofauti.
Itakuwa ndoto kwa Liverpool hii hata kuwa top 4 msimu huu,time will tell.Phil McNulty, a seasoned pundit wa BBC Sport, naye leo katoa prediction yake hii hapa.
some things don't seem to change, huh?
View attachment 1565535
Timo alihusishwa kujiunga na liverpool?mpaka leo siamini macho yangu kuwa timo werner sio mchezaji wetu.
OK.Itakuwa ndoto kwa Liverpool hii hata kuwa top 4 msimu huu,time will tell.