Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Timu ya kimaskini hii wenzenu wanashusha majembe nyie hamueleweki
 
Klopp anazingua

Hapa Bajeti ya sokoni tu tunapitwa na timu kubwa zote hadi Everton

Aston Villa wenyewe wanatupita kama tukisample haya madirisha mawili
Timu nyingi unazoona zinafanya sajili kipindi hiki zinatumia mikopo, kuna source nimesoma zinasema kuna bank huko UK zinatoa mikopo nafuu kwa vilabu vya Epl. covid imefyeka revenues. Upande wetu sisi wawekezaji wetu hawataki kusikia habari kukopa na ni wagumu pia kuweka pesa yao kwenye timu amabayo haija zalishwa kupitia timu ndio maana wamemwambia klopp kama unataka kununua uza fringe players upate pesa ndio ununue. Sio kweli kwamba everton wanamkwanja kuliko sisi.
 
Hii timu ikipata hata top 4 msimu huu hadi shetani atashangaa


Masikin sana, bahiri mno

Nishasema ingekiwa bongo liverpool haina tofauti na singida United

Ni wahuni wahuni tu, wanapenda mitonga
 
Hii timu ikipata hata top 4 msimu huu hadi shetani atashangaa


Masikin sana, bahiri mno

Nishasema ingekiwa bongo liverpool haina tofauti na singida United

Ni wahuni wahuni tu, wanapenda mitonga
Ligi inaanza kesho, tutatuma salamu kupitia leeds utd kama msimu uliopita tulivyofanya kupitia norwich city na mwisho wa ligi unajua nini kilitokea. Kaa kwa kutulia.
 
... Klopp says.....................................................
[If an exceptional player becomes available, can the club do it?] "It was always the case. Always the case. This club, since I am here, and before, spends what we earn. That was always the case. I don't know why this is so surprising now, it's nothing new. Pretty much everything we earn, we spend, if we have to in the moment. If not, we don't, because it makes no sense to throw money away.

"When I speak about the difficulty of the times we live in at the moment, people might think: 'Really? In football as well?' Yes! Surprisingly enough, in football as well! Uncertainty means uncertainty for all of us.

"It must fit to the group. Influence from outside, which a transfer is, can help, 100 per cent. If we can find the right player, it will probably happen, if not, then it won't."

YNWA
 
Hii timu ikipata hata top 4 msimu huu hadi shetani atashangaa


Masikin sana, bahiri mno

Nishasema ingekiwa bongo liverpool haina tofauti na singida United

Ni wahuni wahuni tu, wanapenda mitonga
Hata mwaka jana mlisema liver bahili. Na tu kachukua ndooo. Endeleeni. Mtarudi tena mwakani na maneno Haya Haya.
Naiamini timu iko poa Sana.
Itunze hii comment
 
*Pundits' Top 4 Predictions:*

*Chris Waddle*
Man Utd
Man City
Liverpool
Chelsea

*Alan Shearer*
Man City
Liverpool
Chelsea
Man Utd

*Alex Scott*
Man City
Liverpool
Chelsea
Man Utd

*Pat Nevin*
Man City
Liverpool
Chelsea
Man Utd

*Michael Brown*
Man City
Liverpool
Chelsea
Man Utd

*Micah Richards*
Man City
Liverpool
Man Utd
Chelsea

*Chris Sutton*
Man City
Liverpool
Man Utd
Chelsea

*Lindsay Johnson*
Man City
Liverpool
Man Utd
Chelsea

*Rob Green*
Man City
Chelsea
Liverpool
Man Utd

*Ruud Gullit*
Man City
Chelsea
Liverpool
Man Utd

*Mark Schwarzer*
Man City
Chelsea
Liverpool
Man Utd

*Jermaine Jenas*
Liverpool
Man City
Chelsea
Man Utd

*Karen Carney*
Liverpool
Man City
Chelsea
Man Utd

*Danny Murphy*
Liverpool
Man City
Chelsea
Man Utd

*Martin Keown*
Liverpool
Man City
Chelsea
Man Utd

*Sue Smith*
Liverpool
Man City
Chelsea
Man Utd

*Stephen Warnock*
Liverpool
Man City
Chelsea
Man Utd

*Leon Osman*
Liverpool
Man City
Chelsea
Man Utd

*Matthew Upson*
Liverpool
Man City
Chelsea
Man Utd

*Clinton Morrison*
Liverpool
Man City
Chelsea
Man Utd

*Mark Lawrenson*
Liverpool
Man City
Man Utd
Chelsea

*Dion Dublin*
Liverpool
Man City
Man Utd
Chelsea

*Joleon Lescott*
Liverpool
Man City
Arsenal
Man Utd

*Ian Wright*
Liverpool
Man City
Chelsea
Arsenal


*Blueboy*
Chelsea
Man city
Man United
Liverpool
 
*Pundits' Top 4 Predictions:*

*Chris Waddle*
Man Utd
Man City
Liverpool
Chelsea

*Alan Shearer*
Man City
Liverpool
Chelsea
Man Utd

*Alex Scott*
Man City
Liverpool
Chelsea
Man Utd

*Pat Nevin*
Man City
Liverpool
Chelsea
Man Utd

*Michael Brown*
Man City
Liverpool
Chelsea
Man Utd

*Micah Richards*
Man City
Liverpool
Man Utd
Chelsea

*Chris Sutton*
Man City
Liverpool
Man Utd
Chelsea

*Lindsay Johnson*
Man City
Liverpool
Man Utd
Chelsea

*Rob Green*
Man City
Chelsea
Liverpool
Man Utd

*Ruud Gullit*
Man City
Chelsea
Liverpool
Man Utd

*Mark Schwarzer*
Man City
Chelsea
Liverpool
Man Utd

*Jermaine Jenas*
Liverpool
Man City
Chelsea
Man Utd

*Karen Carney*
Liverpool
Man City
Chelsea
Man Utd

*Danny Murphy*
Liverpool
Man City
Chelsea
Man Utd

*Martin Keown*
Liverpool
Man City
Chelsea
Man Utd

*Sue Smith*
Liverpool
Man City
Chelsea
Man Utd

*Stephen Warnock*
Liverpool
Man City
Chelsea
Man Utd

*Leon Osman*
Liverpool
Man City
Chelsea
Man Utd

*Matthew Upson*
Liverpool
Man City
Chelsea
Man Utd

*Clinton Morrison*
Liverpool
Man City
Chelsea
Man Utd

*Mark Lawrenson*
Liverpool
Man City
Man Utd
Chelsea

*Dion Dublin*
Liverpool
Man City
Man Utd
Chelsea

*Joleon Lescott*
Liverpool
Man City
Arsenal
Man Utd

*Ian Wright*
Liverpool
Man City
Chelsea
Arsenal


*Blueboy*
Chelsea
Man city
Man United
Liverpool
Chris Waddle is full of it hakiyanani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom