Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

so its wilson, woodburn and brewster out then, huh?.................

aisee hawa vijana ndio walikua wanaleta matumaini,.....so sad!
FSG ni ngumu kuwaelewa...

Yaani wao wakionaga ela hua vichwa vinahama...

Wenzetu mchezaji akishafika 30yrs hapewi mkataba zaidi ya miaka 2 ila sasa hapa kwetu tunakomaa na Babu Milner and crew lol huku tukiwaachia akina Rhian waodoke...

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
I dont like this...

Manchester United have Greenwood..

Chelsea have Mason...

Manchester City have Foden..

Arsenal have Sakho

Liverpool, i was banking Rhian for real to cut it out in the front now they wonna sell the boy lol, yatatukuta ya Sancho when he left the citizens...

YNWA
Pendeni uwezo wa mtu sio mtu yani brewster ukamchanganye na kina Greenwod na Sakha kweli?
Mnatanguliza misifa kabla ya uwezo
 
may b n sisi tujivunie Curtis Jones,
 
Sisi tunaamini ata Brewster anauwezo wa kufanya makubwa kama hao wengine

Rhian brwester wanamuwekea buy back clause.
 
Sisi tunaamini ata Brewster anauwezo wa kufanya makubwa kama hao wengine
Yeye nini kinafanya asipangwe mbona cats jones amepenya?

Tunatofautiana na kocha nazani nifikiliacho hapendi mfungaji asie chezea mpira kama zamani namba tisa wenzie wachezeee yeye akae kwenye njia za kufunga tu kama kina Vad ma winga ndo wanafunga sasa hivi habali ya kuvizia magoli haipo tena.
 
Klopp anatakiwa ampe nafasi huyu dogo maana as a timu tunaitaji goal poacher kazi ya kuchezea mpira wakina Salah na mane wapo. Na kama tunavyojuwa Firmino sio mfungaji wa wek in wek out

Fikra zake ndo zimetupa kombe mbele ya mancity
Boby hajawahi kua mshambuliaji pale anatumika kimbinu tu hivyo atakae mbadiliFirminho awe anajua kukaba kama kiungo tim ikishikwa.

Kupangwa naamini hata Origi akiaminiwa kwa mfomo unaotegemea striker atafunga kama alivyokua anafunga kabla hajaumia.

Kocha wetu hana tabia ya kuzoesha wachezaji

Hakuna kitu inanikera kama tunaongoza nne dakika ya 80 anamuingiza milner anaacha makinda benchi
 
Pendeni uwezo wa mtu sio mtu yani brewster ukamchanganye na kina Greenwod na Sakha kweli?
Mnatanguliza misifa kabla ya uwezo
Mkuu umeelewa nilichoandika hapo kweli?

Ipo hivi Rhian kwetu ni raw talent kabisa hivyo nimesema nilitarajia apewe nafasi hapa hapa atimize ndoto yake...

Nikasema pia yatatukuta ya Sacho, unafahamu Sacho wakati anaodoka Citizens hakua proven kama alivyo sasa.. Hili linaweza kutokea kwa Rhian kwani bila majeruhi anaonyesha dalili zipo atakuja kua moto..

Uwezo wa Greenwood, Mason au Foden bila kupewa nafasi Team A unadhani tungewajua aje kama kiwango..

YNWA
 
may b n sisi tujivunie Curtis Jones,
Tunae TAA ndugu yangu ila pale front hatujapata Owen mwingine wa uhakika aisee nilikua positive sana kuona huyu ndugu akija kuivaa namba 9 na akifanya mambo.. Ana safari ndefu kujijenga kimwili nk ila angepewa nafasi aisee...

Jones ameshahakikishiwa nafasi ya Lallana yupo sana tu huyu sasa ni bidii zake kukomaa kupata dakika za kutosha uwanjani..

YNWA
 
Ukiona hivyo ujue dogo anagoma kwenda kwa mkopo tena kama ni kuodoka basi mazima ama atulie hapa hapa..

In any case all the best to the boy..

YNWA
Yes dogo anajiamini kuwa anaweza kukiamsha EPL so anataka timu Za epl sio mkopo wa championship.
Ndo maana wa nataka kumuuza lakini kuwe na kipengele cha kumnunua tena baadae. Kwa bei wanatakayoweka Liverpool.
 
FSG ni washenzi hawa hivi leo hii tunazidiwa mpaka na leeds na everton kusajli? sasa wamejigeuza WHO kutwa kuelezea effects za corona utafikiri corona team nyingine hakuwaathiri.
Klopp nae amesharidhika na mafanikio aliyopata kwa hii misimu 2, Yeye kama Manager anauwezo wa kuwapa FSG pressure na wakamsikiliza vizuri tatizo Klopp ni mjuaji sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom