Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Kama atakua injury free basi huyu msimu 2022-2023 utamuona tena Anfield na jezi namba 9 inamhusu...Yes dogo anajiamini kuwa anaweza kukiamsha EPL so anataka timu Za epl sio mkopo wa championship.
Ndo maana wa nataka kumuuza lakini kuwe na kipengele cha kumnunua tena baadae. Kwa bei wanatakayoweka Liverpool.
Sheffield United panamfaa... Aston Villa washamnasa Watkins..
YNWA