dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,344
..........and that was 2019......... what happened?Boss ameshasema. Fanya kweli.
Today's football its all about huge investmentView attachment 1556217
..........and that was 2019......... what happened?Boss ameshasema. Fanya kweli.
Today's football its all about huge investmentView attachment 1556217
Boss ameshasema. Fanya kweli.
Today's football its all about huge investmentView attachment 1556217
Boss ameshasema. Fanya kweli.
Today's football its all about huge investmentView attachment 1556217
Kwa kweli ni wazee buy to sell...FSG ni wazee wa kuuza ndo wanunue mzee baba
Ndo maana mnafungwa adi na Arse8Everton wanamchukua Abdoulaye Doucoure ,James Rodriguez na Nani sijui sie tupo tupo tunachukua wachezaji biashara za Arsene Wenger
Sasa na wewe si nimekugonga tena ndani ya dkk 90 ukakalia gongo mbili,
New CEO billy Hogan baada ya kuteuliwa alisema atatoa support kwa klopp na edward kwenye hii transfer market. Watu wakachimbua hiyo ya boss sema hazijakaa sehemu mmoja nilitaka ziendane ishu ya network...........and that was 2019......... what happened?

Wanamchukua Allan defensive MF kutoka Napoli.. And one of the best in that role..Everton wanamchukua Abdoulaye Doucoure ,James Rodriguez na Nani sijui sie tupo tupo tunachukua wachezaji biashara za Arsene Wenger
Haki ya mungu napata kihoro nikiona timu ndogo kama Everton wanakuwa wanasajili kama wana hela kutuzidiWanamchukua Allan defensive MF kutoka Napoli.. And one of the best in that role..
YNWA
Hawa wamiliki wetu mi nadhani wanaishi kwa ku kopi na pasti si bure yaaani kwa vile dirisha kama 3 zimepita bila kusajili na bado wakapata makombe makubwa kabisa basi wanaona kumbe tuna kukosi cha kushindana mwanzo mwisho bila kujua kuja wear and tear ya wachezaji na umri unasogea...Haki ya mungu napata kihoro nikiona timu ndogo kama Everton wanakuwa wanasajili kama wana hela kutuzidi
Nachojua watasajili.Hawa wamiliki wetu mi nadhani wanaishi kwa ku kopi na pasti si bure yaaani kwa vile dirisha kama 3 zimepita bila kusajili na bado wakapata makombe makubwa kabisa basi wanaona kumbe tuna kukosi cha kushindana mwanzo mwisho bila kujua kuja wear and tear ya wachezaji na umri unasogea...
Na wana bahati kwa vile Klopp sio kocha wa mdomo kivileee...
Kwa kweli ikifika October 5 dirisha likafungwo basi hapo ndio nitajua tumepatikana mazimaa...
YNWA
Watamsajili nani sasa na wana subili mpaka kina Origi wapate soko?Nachojua watasajili.
Ila kwa nini watupe presha kubwa hivi??
Baada ya kucheza rafu za kutosha siyo..Sasa na wewe si nimekugonga tena ndani ya dkk 90 ukakalia gongo mbili,
Watamsajili nani sasa na wana subili mpaka kina Origi wapate soko?