Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,533
- 32,756
Tusipo sajiri tutatudi tulipokuwa kabla hajaja Klopp,wachezaji wamechoka vibaya sana!
Mkuu hii ishu ya sell to buy ukweli sielewi kabisaaa...Nachojua watasajili.
Ila kwa nini watupe presha kubwa hivi??
Hii sera ni ngumu na inafelisha sana.Mkuu hii ishu ya sell to buy ukweli sielewi kabisaaa...
YNWA
Whatssssss damn you... Is he for real... No wonder alimuuza Surez na kuleta Mario na akina Lambert...Hii sera ni ngumu na inafelisha sana.
Embu tupate tangazo.
"I don't see why Europe has their system of buying players. When I bought LFC I wanted to change that, the US way. We trade players by selling one and buying another,just like the Red Sox. People complain,but LFC win cash and trophies. It works."
John Henry on transfers.
KUMEKUCHA HUKU USA.
Hata sielewi huko mazoezini kweli hawawaoni ama... Na hapa mechi za kimataifa zinaanza soon hivyo hali itakua mbaya mno kwetu tuwaombee wasipate majeruhi maana tutakua pambaya mno..Tusipo sajiri tutatudi tulipokuwa kabla hajaja Klopp,wachezaji wamechoka vibaya sana!
Hata sielewi huko mazoezini kweli hawawaoni ama... Na hapa mechi za kimataifa zinaanza soon hivyo hali itakua mbaya mno kwetu tuwaombee wasipate majeruhi maana tutakua pambaya mno..
YNWA
Ila itakua ameshauriwa sana hadi kuzungumza hivo kuna namna. Tusubiri tujionee hili sinemaWhatssssss damn you... Is he for real... No wonder alimuuza Surez na kuleta Mario na akina Lambert...
Sasa nimeelewa vyema tunakoelekea...
Klopp factor has done us wonders but he is no miracle worker he need worthy quality squad to deliver...
YNWA
Yaani lipo wazi kwamba kikosi kimechoka kinahitaji wachezaji wapya wenye njaa kali na makombe sasa kuzidi kung'ang'ania eti watakaa sawa tunajidanganya....Bora wapate majeruhi hata ya miezi 6 ili ndio wafanye usajili.







Kuelekea msimu ujao 2020/21
Mapema kabisa Liverpool imeshatoka FA na Carabao kama kawaida ya Klop huko atapanga akina williams na brewster maana kikosi ni kidogo sana hakiwezi pambania mashindano yote hayo kama eti ili asajiliwe Thiago ni mpaka mtu aondoke ( Gini).
ukiangalia benchi ndio halina watu kabisaaa , origi ,shakiri ,milner , Adrian ndio benchi , kwenye beki matip ni injury prone, tutegemee tuu kuona watu wale wale ,tactics zile zile