Andy Robertson juu ya Messi kucheza EPL
"Nimecheza dhidi yake mara mbili na ni mechi ngumu sana ambazo nimewahi kucheza, unahitaji kukaa macho dhidi yake kila wakati, anaweza kutokea ghafla na akafanya chochote.
"natumai ataendelea kubaki Uhispania."![]()
![]()
kwa huu usajili wa Chelsea kama wataclick mapema aiseee tukimaliza top 2 itakua bahati sanaaaaaaaaa...............
Hili jambo mimi tangu juzi nalikemea!kwa huu usajili wa Chelsea kama wataclick mapema aiseee tukimaliza top 2 itakua bahati sanaaaaaaaaa...............
Hahahaha angalia uyu takatakaHili jambo mimi tangu juzi nalikemea!
Jamaani.. Huyu chelshishi sijui anawatisha nini. Yani kwa hizi sajili ndio umpe ubingwa?
Ile timu itakuwa vile vile kwa msimu huu, labda wabadili kocha ndo wataweza kupigania ubingwa kwa misimu ijayo.
Mpaka sasa, timu yenye nafasi nzuri bila ya kuweka ushabiki ni Man City na Liverpool kwa mbaali..
Hao Chelsea mtaendelea kuwaona kwenye nafasi ya 4 kwenye msimu huu pia.
Ni kiasi cha muda tu!

Kwa kifupi hapo sioni mchezaji wa kutisha..Hahahaha angalia uyu takataka
Na uhakika hapo Arse8 Auba atakuwa beki pia.View attachment 1559167
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hakuna mchezaji wa kijerumani aliyewahi kufeli Chelsea..Kwa kifupi hapo sioni mchezaji wa kutisha..
Sioni tofauti ya kikosi chenu na kikosi cha msimu ulioisha.
Mount ni bora kumshinda huyo Havertz.
Willian alikuwa na skills nyingi za kusaidia kupatikana magoli kuliko huyo Ziyech.
Kuhusu Werner huwa nasema kila siku, ni Morata aliechangamka. Bora kidogo Giroud atawapatia magoli ya vichwa.
Huyo T. Silva nadhani hajawahi kukutana na Sterling mzee wa kijiangusha.
Kwa kifupi hana utofauti na Zouma.

Hivi Marco Marin alikuwa ni raia wa wapi vile?Hakuna mchezaji wa kijerumani aliyewahi kufeli Chelsea..
Tena kipindi hiki beki soft soft kama Luiz mtazungushwa sana viuno![]()
Iyo tofauti utaiyona ngoja msimu uanze mkuu.
Pigaaaa mbuziiiii haoooooo
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
kwa huu usajili wa Chelsea kama wataclick mapema aiseee tukimaliza top 2 itakua bahati sanaaaaaaaaa...............
Kikosi kizima Cha Liverpool (Senior Squad) msimu wa 2020/21 kina Wachezaji 19 tu.
Makipa:
Alisson
Adrian
Mabeki:
TAA
Gomez
Matip
VVD
Robbo
Tsimikas
Midos:
Hendo
Gini
Keita
Milner
Ox
Fabinho
Washambuliaji:
Salah
Mane
Bobby
Minamino
Original
Wachezaji ambao Msaada wao ni Mdogo kabisa (Prone injuries):
Matip
Keita
OX
Wachezaji ambao Msaada wao ni wa kubahatisha:
Origi
Milner
Adrian
Wachezaji ambao bado hawajawa proved viwango vyao:
Tsimikas
Minamino
Mpaka hapa ukweli ni kwamba tuna wachezaji 11 tu ambao ni Proved kwa kuwatumia msimu mzima wa 2020/21
1) Alison
2) TAA
3) GOMEZ
4) VVD
5) ROBBO
6) FABINHO
7) HENDERSON
8) GINI
9) SALAH
10) MANE
11) BOBBY
Yah! Klopp is not Fan wa Big squad, hence Lampard, OGS and Pep are stupids.
Hamna timu hapa labda Pulisic na Werner tu ,wengine ni oya oyaHahahaha angalia uyu takataka
Na uhakika hapo Arse8 Auba atakuwa beki pia.View attachment 1559167
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hawa hawaelewi, sijuzi wamecheza na Brighton,Kwa kifupi hapo sioni mchezaji wa kutisha..
Sioni tofauti ya kikosi chenu na kikosi cha msimu ulioisha.
Mount ni bora kumshinda huyo Havertz.
Willian alikuwa na skills nyingi za kusaidia kupatikana magoli kuliko huyo Ziyech.
Kuhusu Werner huwa nasema kila siku, ni Morata aliechangamka. Bora kidogo Giroud atawapatia magoli ya vichwa.
Huyo T. Silva nadhani hajawahi kukutana na Sterling mzee wa kijiangusha.
Kwa kifupi hana utofauti na Zouma.
Hivi malafyale aliendaga wapi huyu mwamba ? Liverpudlian huyuWewe hujui mpira, umekaa huko Mabwepande unamponda kocha aliyetupa UEFA na EPL.
Nani hayaogopi majogoo?
Hivi malafyale aliendaga wapi huyu mwamba ? Liverpudlian huyu