Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwaupande wangu nawaombea majogoo washinde game ya leo, kwasababu Arsenal wakishinda hatutalala.
Aya majogoo wa kisasa hamna kitu ..ni makuku ya nyama jana yamechinjwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Tatizo timu nyingine zimeanza kutujulia kwa kuwa wanakaa nyuma muda mwingi ,na sisi tumebaki hivyo bila kubadilisha mbinu za kukabiliana.tunabaki tunalazimisha hivyo hivyo mwisho wa siku tunafungwa tunakaa kimya kama hatujaona tatizo vile.

Mpira tunautawala ila tatizo kwenye kuscore pale mbele.
 
Tangu lini hamjazoea kufungwa nyie si ni msimu uliopita na ule wa nyuma kidgo mmefnya vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu msimu wa 2018/2019 tumepoteza mechi moja msimu wote

Msimu wa 2019/2020 tumepoteza mechi tatu na ubingwa juu.


Wewe timu yako umepoteza mechi ngapi misimu hiyo? Hauwezi kuzikumbuka kwakuwa ni nyingi .
 
For the future...
 
Ni wakati sahihi tupate namba 9 wa ukweli..

Zile klosi almost 10 za Robertson vs Arsenal kwa namba 9 wa uhakika angetupia hata moja aisee..

Ipo tatizo maana wachezaji wetu tumewazoea kuwa kwenye kumi na nane pindi wanavyohitajika ila sasa sijui miguu mizito ama niaje..

Tunahitaji wachezaji wawili wapya pale mbele dynamic winger mmoja ambae atacheza mpaka AM na namba 9 wa uhakika... Firmino tunampenda ila ki ukweli asipokuja kivingine msimu mpya basi awapishe wengine...

Tumpate Ismaila Sarr kwanza aje kuleta changamoto na asiwe mbadala wa kumuuza Mane...

YNWA
 
Kwa sasa under mikel ubavu wa kumfunga ndani nje hamna ndiyo maana mlimfunga yule siyo huyu na si ninyi tu hadi uumie man city kapigwa, Chelsea kapigwa na wataendelea kupigwa tu hakuna namna tuna uwezo huo na tumefanya hivyo na tutaendelea kufanya hivyo pale kwenu ukishinda sana ni sare.

Usikariri maisha huwa yanabadirika na msiposajiri mtajuta kikosi kimechoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Game 3 za mwanzo tunakutana na ninyi na Chelsea.

Kama hatutapata points 6 kwenye hizo game 2, itakuwa ni wakati wa ku-click panic button.
Duu Mkuu mwenzio kwangu ni kama vile hio panic button imewaka mazimaaa...

Swali rahisi Klopp atakuja na mfumo tofauti na wa juzi mhmh sidhaniiii...

Unless our front 3 wawe more clinical like last year August walivyoanza ligi basi tutakua vizuri na pia wenzetu wapoteane mazima..
YNWA
 

Kwa sasa Salah na Firmino wamefikia mwisho wa uwezo wao, they need to find new scenery to rejuvenate their games.

We also need to do the changes as well before it is too late.
 
Kwa sasa Salah na Firmino wamefikia mwisho wa uwezo wao, they need to find new scenery to rejuvenate their games.

We also need to do the changes as well before it is too late.
Brewster na Curtis Jones wanafaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii team kwisha habari yake ..nguvu za soda zimeisha [emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…