Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Arsenal ndo wa kumlalamikia Mikel maana game hii arsenal walikuwa wanaimaliza mapema sema vile vitoto havijatulia kabisa vimekosa goli karibia tatu.
Liva kasomwa na mikel na kadhibitiwa refer last game .

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama kasomwa aje amfunge pale anfield,anfield kupata draw tu haiwezekani. Anfield mwaka wa 4 sasa kwenye epl hatujafungwa.

Tusubirie uone mkuu maana game liverpool na Arsenal sio mbali ni September tu hapo.na uzuri anakuja hapo anfield yaaani hapo tunamalizia hasira zetu zote hapo .
 
Ukiachana na poor marking ya Neco jana Mane katu ua mbele ya kadamnasi

Zile 2 clear chances zinaniuma mpaka sahizi n kibaya zaidi wachezaji wamelose focus yani wanacheza hata hawaelewi wanacueza nini....

We need Thiago na ikiwezekana turudishe hata lile zee SUAREZ
 
Maybe this would serve Klopp as a wake up call. We need to see some reactions in this window.
Klop is one of the arrogant bosses out there, very arrogant............ he will stick with his guns to the bitter end!
 
Mnawalipa wachezaji mishahara ya mboga, usajili mnajibana, mnatafuta cheap player ambao hawana effect, minamino mmepigwa,
Achen ubahili
mishahara ya mboga ambayo wewe hadi kufa kwako hautokaa ulipwe hio hela mboga na singida fc yako. Kufungwa ni jambo la kawaida tunasonga mbele.
 
the fact kwamba aseno aliingiza vitoto vingi ndio linatuumiza zaidi........


kina holding kweli ndio wakutusumbua?
 
Sababu kubwa ya Liva kuwa ngumu kufungwa kwenye uwanja wa Anfield ni kutokana na uwepo wa mashabiki.

Sasa msimu huu tunaanza mashabiki hakuna..

Jiandaeni kisaikolojia!
 
kweli joe alipoenda rb mambo yakatulia jamaa linaenda kitemi mnoo
tunahitaji mbadala wa TAA for sure..
 
Sababu kubwa ya Liva kuwa ngumu kufungwa kwenye uwanja wa Anfield ni kutokana na uwepo wa mashabiki.

Sasa msimu huu tunaanza mashabiki hakuna..

Jiandaeni kisaikolojia!
pumba .
mashabiki wawepo au wasiwepo anakufa mtu
 
napata uoga sana kui disrupt ile midfield ya sasa. if it ain't broken, why fix it? they do have an off day occasionally (like today) but who doesn't?


mmmmhhhhh........ yale yale ya kutoi-disrupt front 3,,,,,........ mid yetu imeshachuja, hendo,millie&gini walitakiwa kuungana na lalana kuondoka!


tusijidanganye tuta-overachieve this season, hatuna tena x-factor ya kutubeba!
 
mmmmhhhhh........ yale yale ya kutoi-disrupt front 3,,,,,........ mid yetu imeshachuja, hendo,millie&gini walitakiwa kuungana na lalana kuondoka!


tusijidanganye tuta-overachieve this season, hatuna tena x-factor ya kutubeba!
sawa.... unaweza kuwa upo right pia!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…