Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yani Chelsea kubahatisha kushinda hii CL ishakuwa balaa! Kumbe bora PSG alivolikosa.
Kama bado unaamini kwenye kuna kubahatisha basi unachelewa sana ndugu. Mpira ni mchezo wa makosa ukizembea unawekwa ndio kilichotokea kwa PSG walipata nafasi za kushato wakashindwa kuzitumia.

Kama na wao Arsenal wabahatishe.
 
Msimu uliopita mulikuwa na vijisababu tele kuhusu Lampard kusaini.

Sasa Msimu huu sijui mwisho wa Msimu mutasemaje?

Pulisic
Ziyech
Werner
Thiago Silva soon
Chillwel soon

Lakini hapo kwa Chillwel jiandaeni kipigwa kama Manure walivyopigwa kwa Bondia
Usinihurumie mimi mkuu, wahurumie Arsenal maana tunajua hali zao siku zote zinakuaje.
 
Adjustments.jpg
 
Kujikaza kwenye Mshahara si rahisi kwani anaweza kutaka £500K au £450K per week jambo ambalo ni ngumu kwa Timu yenye Limited Budget kama Liverpool.
Lallana lovren Clyne jumla ni 240,000/
Tunepokea 10mil pound kwa lovren.
Pia kwa Wilson hatukosi 20 mil. Grujic hatukosi 10 plus mil. Shaqiri hatukosi 10mil plus. Hapo hatushindiw kumlipa mishahara. Tena hapo akisajili tu atarudisha 70% ya hela kwa kuuza vitu.
Plus kumbuka tuna 175mil pund ya kuwa bingwa hapo sijaweka ya TV rights na mazagazaga mengine.
Hatushindwi sema tu Klopp anaonyesha hapendi majina mkubwa. Ndo maana alimtakaga Mbape akiwa bado dogo but now wala hana mda nae.
AU uza kabisa salah leta Messi.
 
Unavyopiga hesabu utasema wewe ndio mhasibu mkuu wa klabu,
Idumu JF

Lakini kwa hesabu izopiga hapa mana yake ni kama Timu yetu haitumii gharama yoyote katika kuiendesha that's Why unazungumza as If hela yote tunayoingiza haitumiki inabakia kwenye Account kama ilivyo.

Sasa sijui Mishahara ya Wachezaji na other Staff, Posho, Kodi, Umeme, Maji, Ukarabati wa Viwanja na Majengo, Usafiri, na gharama nyengine za uendeshaji huwa zinalipwa na nani kama mapato yote yapo hayajatumika.
Na pia Faida wanayogawana Shareholders itakuwa inatoka wapi?
mimi ninaamini mapato jinsi yanavyoingia ndiyo yanavyotoka kwa ajili ya amatumizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom