Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

FFP Rules I think zitakaba

500 £mil ni Turnover ya kuuiingiza Club Top five Richest Europe clubs kabisa
 
FFP Rules I think zitakaba

500 £mil ni Turnover ya kuuiingiza Club Top five Richest Europe clubs kabisa
Hahaha Barcelona bhana eti his release clause has to be paid in full yaani....

Major issue hapa ni mshahara ndugu jamaa atahitaji £500,000 per week yaani kwa Liverpool hii ambayo hata Mane, Firmino, Allison nk hawapati hata @ £200,000🤓🤓... May be play station ..

The major teams that can come up with an extended offer ni PSG, Manchester City, Juventus, Inter Milan, Real Madrid 🤔🤔🤔🤔....

Ishu hapa Barcelona hawapo tayari kumwachia hivyo watampa mkataba mpya soon unless kweli nao wanaona muda umefika ndogo kuodoka Nou Camp..

Tumewashindwa Timo, Kai, Traore ambao ni below £80m na mshahara around £170k sasa huyu Messi mhmh dreams lool..

Labda Nike watuletee Xmas party now now now...

YNWA
 
Labda aje Liverpool halafu ajilipe mwenyewe kupitia matangazo
 
Only psg can do that
 

Sasa wewe Jamaa umeshaanzisha Ugonmvi gena tena na Mimi?

Mimi ninaongea na Washabiki wa Chelsea na Arsenal for Fun, hayo mashambulizi yako yametokea wapi tena?

Na haya Uliyoyaandika yanahusu nini kwenye Post yangu?

Hayo ya ITV na DTV, ya kina Gullit na mengine yote uliyoyaandika Mimi nayajua na Walaya sihitaji msaada wako kufahamishwa! Labda nikuongezee tu kuwa hata TVZ (Sasa ZBC) ya Zanzibar ilikuwa kila Jumamosi na Jumapili inaonesha Mechi moja kubwa ya EPL bure.
Mimi usinichukulie Powa kiasi hicho ukadhani kutokujiunga JF 2009 kama wewe ndiyo nilikuwa Sijazaliwa wakati mwaka inaanzishwa JF 2006 Mtoto wangu wa kwanza anatimiza miaka 3, na 2019 nikaowa Mke wa Pili.
Huenda ikawa naijuwa Liverpool wewe tokea unasoma Shule ya Msingi lakini nashangaa unanitajia Wachejazi wa mwaka 1997?????

Kuhusu Title Contender kwa Chelsea umedanganya Bro,
Kuanzia mwaka 1905 mpaka kufikia mwaka 2000 Chelsea hakuwahi kuwa Regular kwenye Hata Top 4 achiliambali title Contender! Prove me Wrong kwa kuweka Msimamo wa Ligi angalau kwa miaka 5 mfululizo.

Kuanzia mwaka 2001 mpaka 2004 Chelsea hakuwahi kuwa Regular title Contender kwani Vita ilikuwa ni Arsenal v/s Manure, Chelsea akawa Regular Top Four, Prove me Wrong.

Kuanzia 2005 ndiyo Chelsea kawa Regular Title Contender.

Kutokezea mwaka mmoja ukabahatisha kuwa Title Contender haijawa Kigenzo kama wewe kwenye zama hizo ni Title Contender wa kupigiwa mfano, Hata Liverpool mwaka 2001 tulikuwa title Contender Je tujihesabu kuwa kuanzia era ya 2001 mpaka sasa tulikuwa title Contender kwa miaka yote hiyo? Leicester City kwasababu mwaka 2016 alikuwa title Contender na akabeba Kombe nayeye tumuhesabu mpaka sasa ni miaongoni mwa Matitle Contenders?

Usipende kukurupuka bro.
 
Jibu langu lilihusu hizi timu kutokuwa na mashabiki kabla ya 2005..
Je ni kweli Chelsea Hana mashabiki Tz kabla ya 2005?

Nimekupa mfano Chelsea ya Zola na flo ilikuwa na mashabiki na walikosa ubinga kidogo sana

Shida yako kwangu ni kwamba umegeuka yule jamaa aliyekuwa anajiita Tajiri,
Kuna siku utakuja kunibishia hapa kuwa Chelsea haijaanzishwa 2005 bali imeanzishwa 1905.

Nadhani tunaposema Chelsea imeanzishwa 2005 basi uwe unauliza huwa tunakusudia nini!

Na tunaposema Chelsea imeanza kupata Mashabiki 2005 uwe unauliza tumekusudia nini?

Kwani wale wanaosema Liverpool ina kombe 1 tu la EPL unadhani hawajui kuwa tuna makombe 19 ya Ligi?

Basi mfano huo wa Liverpool na EPL ndiyo mfano wa Chelsea na mashabiki, usidhani sijui kuwa Chelsea ilikuwa na mshabiki kabla ya 2005, Classmate wangu 4 walikuwa Mashabiki wa Chelsea tokea 1996 na mpaka leo wapo.

Uwe unasoma kwa kuelewa na sio kukurupuka.
 

Mtoto mimi?
Unajuwa nimezaliwa mwaka gani? Umri wangu?
 

Inahitajika Nivunje Timu halafu uwepo peke yako kwa miaka 100 mbele ndiyo uweze kunipita.
 

Yani maelezo yako yote yanacheza kati ya mwaka 2000 - 2003

Kumbe ndiyo walewale kizazi cha 2000+
 
Huyu jamaa amekuwa kama yule tajiri msomi,
Haelewi kuwa kila sehemu na lugha zake, ni wa kupuuza tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…