Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Pale unapotoka kuvuta na kukimbilia kucommentMwaka huu liverpool top 4 mtaitafuta bila mafanikio
Man city
Man u
Chelsea
Arsenal
Spurs
Liverpool
.
.
.
.
.
West brown
Pale unapotoka kuvuta na kukimbilia kucommentMwaka huu liverpool top 4 mtaitafuta bila mafanikio
Man city
Man u
Chelsea
Arsenal
Spurs
Liverpool
.
.
.
.
.
West brown
West BromMpaka hapo huu msimamo wako ni batili hakuna timu EPL inayoitwa West brown

Mkuu Pain killer hata msimu uliopita hatakua favourites mbali tulikua contenders na bila shaka msimamo unao mambo yalivyoisha...Mwaka huu liverpool top 4 mtaitafuta bila mafanikio
Man city
Man u
Chelsea
Arsenal
Spurs
Liverpool
.
.
.
.
.
West brown
Nilikuwa nikikutana na Liverkuku huyu jamaa akipata mpira roho yataka itoke anapiga hadi Leo sijampatia mwenzie,

Namuona GINI akienda kwa koeman Barcelona. Hapo ndio " labda" Nanihii ndo atakuja
Barca ndo wamechoka kiasi hiki kweli!
Jezi kama mkeka
Ilibidi nicheke tu
Sio siri kuna Watu wanaamini tuna mabonge ya Wachezaji! Kumbe ni uchawi wa Klopp tu ndiyo unaofanya kazi.
Naamini 2024 Klopp akimaliza Mkataba atagombaniwa kama Papuchi na Timu zote Duniani
Hope aende popote lakini sio Manure! Aisee bora hata tumuuwe kuliko kwenda Manure.
Me nahamini klopp ataongeza tu mkataba mwingine hawezi kuondoka. Klopp tulionesha kumjali sana na kumuamini maana alivyokuja Alipewa mkataba wa miaka 6 sizani kama kuna kocha anaweza kupewa mkataba wa muda mrefu kama yeye alivyopewa .
Alikataa kwenda Man U nakuja Liverpool licha ya kwamba tutamlipa hela kidogo na licha ya kwamba liverpool kuonekana kukosa mafanikio kwa muda mrefu lakini yeye aliamua kuja hivyo hivyo.
Kusema anaondoka ata alivyokuja alisema hivyo hivyo muda ilivyofika akaongeza muda.
Klopp kuondoka liverpool mpaka aache kufundisha mpira,kama Ferguson vile.
Na kwa sasa hakuna timu inayotusumbua kiasi kwamba kumfanya klopp akose makombe aondoke.timu ilivyo kwa Sasa kila msimu tunauwakika wa kuchukua kikombe kimoja.
Kila timu inamtaka kwa sasa Klopp ,ila tuJitahidi kumuongezea mshahara tu,klopp anakuja kustafia liverpool pale.
bora aondoke tu kwa sasa yeye ndio anayesababisha tusisajiri wachezaji wakubwa maana hawapi timbwili timbwili mabosi wake,huu msimu tutapotena vibaya sana kama hatutasajili wachezaji wetu wamechoka tunabebwa tu na mgongo wa klopp na ile spirit ya liverpool.Me nahamini klopp ataongeza tu mkataba mwingine hawezi kuondoka. Klopp tulionesha kumjali sana na kumuamini maana alivyokuja Alipewa mkataba wa miaka 6 sizani kama kuna kocha anaweza kupewa mkataba wa muda mrefu kama yeye alivyopewa .
Alikataa kwenda Man U nakuja Liverpool licha ya kwamba tutamlipa hela kidogo na licha ya kwamba liverpool kuonekana kukosa mafanikio kwa muda mrefu lakini yeye aliamua kuja hivyo hivyo.
Kusema anaondoka ata alivyokuja alisema hivyo hivyo muda ilivyofika akaongeza muda.
Klopp kuondoka liverpool mpaka aache kufundisha mpira,kama Ferguson vile.
Na kwa sasa hakuna timu inayotusumbua kiasi kwamba kumfanya klopp akose makombe aondoke.timu ilivyo kwa Sasa kila msimu tunauwakika wa kuchukua kikombe kimoja.
Kila timu inamtaka kwa sasa Klopp ,ila tuJitahidi kumuongezea mshahara tu,klopp anakuja kustafia liverpool pale.
Hivi kuna umuhimu gani wa kusajili majina makubwa na yakaja kuzingua bila kupata taji hata moja? Klopp ni masterclass ww hawezi chukua mtu bila kujua anakuja kumtumia vp.....hebu acheni longolongo bana afanye kazi yake kama kocha. Binafsi sina cha kumdai Klopp kutokana na timu alipoitoa na mpaka sasa ilipo.. Na kasema lazima asajili watu wawil yaani kiungo pamoja na mshambuliaji. So ni suala la kusubiri sio kulalamika bila kuwa na facts zozote.bora aondoke tu kwa sasa yeye ndio anayesababisha tusisajiri wachezaji wakubwa maana hawapi timbwili timbwili mabosi wake,huu msimu tutapotena vibaya sana kama hatutasajili wachezaji wetu wamechoka tunabebwa tu na mgongo wa klopp na ile spirit ya liverpool.
Mkuu huu uzi wa kihistoria muhimu kuwa nao. Me nilichukua mapema kabisa.
Kwa wale wazee wa kubet tulio fungiwa uzi tukutane whatsapp, click link hapo chini. Betting tips combination🤓🤓🤓
Yani nitajisikia Aibu sana kujisifia Mitandaoni halafu sina hata Jezi ya Liverpool.
Kila Msimu lazima nitinge Uzi mpya unaotoka halafu wa Msimu uliopita nafanyia Mazoezi ya Jogging tu.
Ndio muda wetu Mkuu wakutamba sasa .