Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I am telling you, we will not get there, kwa UEFA hatutaweza.

Timu tuliyokuwa nayo this time ungeweza kusema ni timu bora ya wakati wote, lakini tunakumbuka performance yake UEFA kwenye makundi tunafungwa ovyo, tuna draw kizembe zembe. Tatizo ni kwamba EPL had poor teams this season, ndiyo maana hata aliyekuwa mpinzani wetu City katolewa kizembe kama tulivyotoka sisi, Chelsea na Tottenham same same tena kwa aibu.

UEFA haihitaji ujanja ujanja, lazima tuwe na timu kama tunataka kufanya vizuri kwenye hiyo avenue. Tuna kila sababu ya kuwa katika level hiyo, kifedha timu iko vizuri, tuna kocha bora sana kwa kipindi hiki, tuko katika level amabyo hakuna mchezaji anayeweza kutukataa, tuna Nike as our sponsor.

Huu ulitakiwa uwe ni wakati wetu.
True kaka msimu uliopita we were the luckiest team EPL wakati wengine walipoteana..

We are supposed to build from our triumph sio the other way round..

Our main players are almost 27yrs+ na hio ni red light yasitukute kama haya ya Barcelona with panic buying and aging squad kama Juve...proper planning and wide scouting is necessary but its useless if the main target are bypassed because of the costs and to choose 3rd or 4th target..

Our UCL elimination was supposed to send a clear picture to the owners how this transfer window should be conducted..

I hate to be pessimistic on this man.. But the signs are kind of zigzag..

YNWA
 
Huyu mtuachie sisi dah,

Mna Hendo, keita, Gini, Ox, Faby na Thiago yupo njiani sasa huyu mngetuachia tu
Mkuu DullyJr kumbe mnamtaka..

Aisee ndogo fundi all the best..

Shinda ni raisi wa Lyon mzee Jean yupo kama Levy wa Spurs yaaani atawapiga ela ndefu na mpaka basi hanaga huruma..

Huyo Thiago mpaka sasa mwenzio hajanishawishi japo chini ya Klopp naamini atakua moto zaidi... Shinda kwangu ni majeraha yake ndugu hilo tu..

YNWA
 
Nitakua kop wa mwisho kulalamikia usajili.
Sina reason ya hatukusajili tukachukua, reason yangu ipo hapa combination ya Klopp and Edward.

Kuna mijadala inapigwa humu ni mizuri na yote ni kujenga team.
Tungefuatilia jinsi garragher na neville wanavyobattle tungejifunzi utofauti wa shabiki wa team na shabiki wa mpira. Mambo ya liverpool halisi yasingekuwepo, kuna jambo naona linaibuka la timu haijashuka daraja hatuwezi msajili, tusubiri timu ishuke ndipo tumchukue n.k

Nimalizie kwa kusema, ndio ushabiki wa team ns ushabiki wa mpira ulivyo.
 
Mkuu Olympic Lyon haijashuka Daraja sasa Aouar tutamsajili vipi? Au umesahau kama targets zetu ni za Walioshuka daraja?
🤣🤣🤣 Labda watu sapraizi ndugu
Yangu
Wamemaliza Msimu wakiwa nafasi ya 7 Ligue One hivyo msimu ujao hawapo UCL ndio maana wengi wanadhani sasa ni wakati mwafaka kumnasa... Pep mwenyewe anamchungulia kwa mbaliii..

YNWA
 
1597597081529.png
 
PEP ni Timu 3 tu Duniani alizokuwa na uwezo wa Kushinda UCL.

1) Barcelona iliyokuwa na Messi yule wa Zamani aliyekuwa akifunga Magoli 50+ kwa Msimu.
Huyu Messi wa sasa asiyefikisha hata magoli 30 hawezi shinda hata Carabao.

2) Iliyokuwa Real Madrid ya Ronaldo

3) Liverpool

Kwenye Real & Barcelona PEP ameshinda CL na wala si kwa ubora na mbinu zake bali ni kwa ubora wa Ronaldo & Messi.

Kwenye Liverpool angeshinda UCL si kwa ubora na mbinu zake bali ni kwasababu UCL ipo ndani ya DNA ya Liverpool ambayo kocha yoyote akitulia ni rahisi kuifikia kama alivyofanya BENITEZ na kikosi cha kawaida sana cha 2005 kilichowatoa Magwiji wa Bayern na AC Milan, na Chelsea bora kabisa.

Lakini kwa Timu nyengine zilizobakia PEP hawezi kushinda CL hata umpe £1B ya usajili.

Kwa Man City hii Klopp angelikwisha shinda CL 3 mpaka muda huu lakini PEP anaishia kuwa Semi Finalist kama alivyokuwa kwenye Bayern bora kabisa.
Wee jamaa bana ..Pep kafundisha lini Madrid?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Lakini linapokuja suala la Domestic Cups PEP ni king'ng'anizi sana! Ndiyomana nasema akiondoka Klopp basi mbadala wake ni PEP kwasasa ili atusaidia kushinda Domestic Cups, then kwenye UCL atatuachia wenye DNA yetu (Anfield Atmosphere) tushinde kombe.
Kweli maskini akipata matercore Hulia......

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom